BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,483
- 21,506
Kwa hii nchi ya Marehemu hilo linawezekana, Tanzania hata Mwijaku anaweza ongoza nchi kwa.kifupi hata wewe mlera post unaweza ongoza hii nchi.Sijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama.
Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano wake ni wa ki-obama obama.
Zile tambo zake za kuongea kwa nukta na madoido pamoja na aina ya uvaaji wake, kwa hakika huyu ndiye.
Siku hizi naona anakunja mashati kama Obama.
Nimepekua mafaili yake, inasemekana alipokuwa High School (Galanos) alipata dosari ya kitaaluma kutokana na uvujifu wa mitihani na udanganyifu.
Kwa hilo, nafikiri hiyo ndiyo tofauti pekee aliyonayo dhidi ya Obama. —Obama ni msomi, wakati January ndio vile tena tia maji tia maji.
Mengine yote nafikiri wanafanana sana na Obama. Hasa ule ukunjaji wa mashati unanikoga sana.
Tumpe huyu. Ni Obama wetu wa kitanzania.
View attachment 2323174
Kwa hii nchi ni nani hawezi tawala? Hii nchi hata Wema sepetu anatawala,Makamba huyu au kazaliwa mwngne mana kwa huyu sioni....
Nakumbuka mlishasema atakuwa Rais kwa nyota badala ya sifa stahikiZile tambo zake za kuongea kwa nukta na madoido pamoja na aina ya uvaaji wake, kwa hakika huyu ndiye.
Kwa hii nchi ni nani hawezi tawala? Hii nchi hata Wema sepetu anatawala,
Kwenye kuzungumza sina uhakika.
Lakini kwenye ukunjaji wa mashati hapo swadakta. Kopi right.
Acha kumfananisha Obama na Mambo ya ajabu.Sijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama.
Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano wake ni wa ki-obama obama.
Zile tambo zake za kuongea kwa nukta na madoido pamoja na aina ya uvaaji wake, kwa hakika huyu ndiye.
Siku hizi naona anakunja mashati kama Obama.
Nimepekua mafaili yake, inasemekana alipokuwa High School (Galanos) alipata dosari ya kitaaluma kutokana na uvujifu wa mitihani na udanganyifu.
Kwa hilo, nafikiri hiyo ndiyo tofauti pekee aliyonayo dhidi ya Obama. —Obama ni msomi, wakati January ndio vile tena tia maji tia maji.
Mengine yote nafikiri wanafanana sana na Obama. Hasa ule ukunjaji wa mashati unanikoga sana.
Tumpe huyu. Ni Obama wetu wa kitanzania.
View attachment 2323174
Hamsogeli hata Ruto wa hapo Kibera, Obama wapi na wapi? Ndiyo za mchanaSijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama.
Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano wake ni wa ki-obama obama.
Zile tambo zake za kuongea kwa nukta na madoido pamoja na aina ya uvaaji wake, kwa hakika huyu ndiye.
Siku hizi naona anakunja mashati kama Obama.
Nimepekua mafaili yake, inasemekana alipokuwa High School (Galanos) alipata dosari ya kitaaluma kutokana na uvujifu wa mitihani na udanganyifu.
Kwa hilo, nafikiri hiyo ndiyo tofauti pekee aliyonayo dhidi ya Obama. —Obama ni msomi, wakati January ndio vile tena tia maji tia maji.
Mengine yote nafikiri wanafanana sana na Obama. Hasa ule ukunjaji wa mashati unanikoga sana.
Tumpe huyu. Ni Obama wetu wa kitanzania.
View attachment 2323174
Namkubali Sana ila kama tuu CCM wata ignore ule utaratibu wao usio rasmi wa kufuata mbadilishano wa dini.Sijui mmegundua? Huyu jamaa ana mikogo na miondoko kama ya Barrack Obama.
Ukiachana na ile "nadharia" kwamba yeye mwenyewe mara zote hudhani ana sifa za kuwa Rais, nimebaini pia hata mwonekano wake ni wa ki-obama obama.
Zile tambo zake za kuongea kwa nukta na madoido pamoja na aina ya uvaaji wake, kwa hakika huyu ndiye.
Siku hizi naona anakunja mashati kama Obama.
Nimepekua mafaili yake, inasemekana alipokuwa High School (Galanos) alipata dosari ya kitaaluma kutokana na uvujifu wa mitihani na udanganyifu.
Kwa hilo, nafikiri hiyo ndiyo tofauti pekee aliyonayo dhidi ya Obama. —Obama ni msomi, wakati January ndio vile tena tia maji tia maji.
Mengine yote nafikiri wanafanana sana na Obama. Hasa ule ukunjaji wa mashati unanikoga sana.
Tumpe huyu. Ni Obama wetu wa kitanzania.
View attachment 2323174
Kimasihara au kwa mbeleko fc kama kawaida.Jamaa ana nyota inayong'aa sana; lipo kundi limejipanga kwa hali na mali kumchafua lakini ni suala la muda tu kabla hajawa-outshine kimasihara tu......hawatoamini!!