January Makamba na kiini macho cha urais

NGOWILE

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
454
Reaction score
258
JANUARY MAKAMBA NA KIINI MACHO CHA URAIS.

Ni hivi majuzi tu nimetoka kuandika juu ya Rais Kikwete kuufanya urais kuwa bei ya kutupwa kias kwamba kila mtu kuufanya urais kuwa hata mwendawazimu kuona anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kutokana na neno rais kuwa la kawaida na halina heshima tena, kila mtu anajipa urais kwa namna anavyojisikia. Utasikia mara rais wa manzese, ooh rais wa wasafi huku nako rais wa wagumu. Hali hii kwa mtizamo wangu ni kutokana neno rais kukosa hadhi ndani ya ardhi ya Tanzania.

Mwalimu Nyerere alipata kusema kuwa ikulu sio mahali pa kukimbilia lakini ninashangaa kwanini wakati huu wa Jakaya kila mtu anapataka Ikulu? Jibu langu ni lilelile kuwa Rais Kikwete ameufanya urais wa nchi kuwa kitu cha kawaida kias kwamba hata mwendawazimu flani anaweza tu kutaka kuwa rais wa nchi, what a shame?

Wakati huu ambapo Jakaya anakaribia kumaliza muda wake tumeona watu kadhaa hasa makada wa chama cha mapinduzi wakijitangaza kila mtu kwa namna yake na tumewashughudia wakijifaragua kwa kila mtu na namna yake ambapo ukitafakari kwa kina kunaonekana kama mchezo wa kuigiza ama komedi za akina masanja mkandamizaji.

Sote tunakumbuka na namna ambapo Edward Lowasa alipoanza na stail ya kutoa misaada makanisani kias kwamba kila kiongozi wa kanisa alipotaka kufanya harambee aliona mtu pekee anayeweza kutoa fedha za kutosha ni waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowasa. Hapa utaona kwamba mtu huyu stail yake ni ya kuwanunua watanzania kwa gharama ya kawaida kabisa. Licha ya kufanya harambee pia tumemshughudia akihangaika kuwahonga machinga na hapa sote tunakumbuka alipowakusanya machinga wa soko la makoroboi jijini mwanza. Lakini cha kushangaza ni pale alipowalipa waendesha pikipiki wa Dar es salaam sh.15000/: kwa kila mmoja ili tu wakusanyike kusema Lowasa ni rais ajaye.

Swali nililojiuliza hivi hicho kisima cha fedha alicho nacho Lowasa huwa hakikauki? Na kama hakikauki chanzo chake ni nini? Utasikia ooh ameshirikiana na marafiki zake..ni marafiki gani hao wasioonekana? Na pia ni nini malengo yao? Kutokana stail hii ya Lowasa, lile neno la Mwalimu Nyerere kuwa itafika wakati nchi hii itaongozwa na mjingamjinga fulani tu kwa sababu tu ana fedha.

Samweli Sita nae kaja kwa stail ya kumkamdia Lowasa na kujipa uzalendo na uadililifu ambao ambao hana hata chembe. Sote tunadhughudia namna anavyoendesha kihuni bunge maalumu la katiba. Lakini pia tunakumbuka namna alivyolazimisha kujengwa ofisi ya spika wilayani Urambo wakati akiongoza bunge la tisa utadhani angekuwa spika kwa maisha yake yote.

Profesa Anna Tibaijuka nae kaenda jimboni kwake. Muleba Kusini na kuwalipa ch.elfu kumi kila mmoja wa vijana wanaofanya biashara ndogo ndogo wabebe mabango yaliyoandikwa kuwa anafaa kuwa rais ati nae awe miongoni mwa wanaotajwa kuwa rais.

Mwigulu Lameck Nchemba Madeluu nae kaja na mkakati wake ati wazee wa Butiama ambopo ni kijiji alipozaliwa baba wa Taifa kuwa wamempigia simu na kumuandikia meseji ati agombee urais wa Tanzania kwani yeye ni kama Nyerere. Duuu Inasikitisha sana.

Hiyo ni kama mifano tu. Ila kwa leo ninapenda kuzungumzia kidogo mkakati wa kitoto wa January Yusuph Makamba. Huyu amekuja na mkakati wa kutumia ujana kama kigezo na sifa ya kuwa rais ajaye wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikajiuliza hivi ni kweli kuwa Ikulu kuna kazi ya kubeba vyuma ama mawe kias kwamba ahitajike kijana? Ni nani aliyesema kuwa uzee ni laana kwa kuwa rais wa nchi yetu?

Kinachonisikitisha ni kitendo cha January Makamba kuwatumia Habibu Mchange, Mtela Mwampamba pamoja na Fredrick Mwakisambwe kuwahadaa watanzania kuwa walimu vijana wanamuunga mkono January Makamba?

Fredrick Mwakisambwe nimemfahamu kwani nimesoma nae Masters chuo kikuu cha Dodoma na pia ni Mwalimu wa shule ya sekondary Mnadani iliyopo manispaa ya Dodoma. Fredrick Mwakisambwe ni rafiki mkubwa wa Habibu Mchange, Mtela Mwampamba na Juliana Shoza kwani wamekutana DUCE wakati wanasoma degree ya ualimu.

Kutokana na Habibu Mchange kuwa mratibu mkubwa wa harakati za January Makamba, imekuwa ni rahisi Fredrick Mwakisambwe kuunganishwa na January Makamba kupitia kupitia Mchange Mwenyewe pamoja na Mtela Mwampamba huku mkakati huo ukimhusisha pia kiongozi mkubwa wa CCM mkoa mmojawapo wa kanda ya ziwa.

Mkakati mkubwa wa Makamba ni kuwatumia walimu vijana, wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja wanafunzi wa sekondari kupitia baadhi ya walimu vijana wenye njaa.

January Makamba amefanikiwa kumnunua Fredrik Mwakisambwe kwa ahadi kuwa atasaidiwa kutoka manispaa na kupata kazi TAMISEMI kwa makubaliano kuwa amuunganishe january na walimu wa Manispaa ya Dodoma. Na kuanzia Fredrick Mwakisambwe alipewa sh. 1,500,000 ili aandae kongamano la walimu ambalo baadae lilibatizwa kuwa jumuiya ya walimu vijana.

Katika kongamano hilo lililofanyika manispaa ya Dodoma kwa kuratibiwa na Mwl.Mwakisabwe, mahudhurio ya waalimu hayakuwa mazuri hivyo ililazimika kuwatafuta vijana wanaoendesha boda boda kwenye vijiwe ili nao wawe sehemu ya walimu watakaoshangilia ili ionekane kuwa walimu wanamshangilia January Makamba. Vijana hao wa boda boda walikuwa 89 na walilipwa sh.15000 kila mmoja pamoja na chakula cha mchana.

Usanii kama huu kwa sasa unaratibiwa mkoa wa Mbeya na kiini macho hichi kitafanyika siku ya tar.20/9/2014 jijini mbeya na baadaye Manispaa ya Moshi na Mwanza.

Swali je hivi ndivyo tunavyotaka kumpata rais wa nchi yetu kiujanjaujanja?

NAWAZA TU KWA SAUTI

N.NGOWI.
 
Kazi ya rais wa Tanzania ni kupanda ndege, kushanga shangaa, kupanda bembea na kutabasam. Hata binti yangu wa darasa la pili ataiweza
 
January wa anatakiwa kuwa Rais wa kwanza kutoka upande wa kaskazini.
 
Mhhhh Ndugu Mwandishi hapa usiandikie ushabiki au Historia kiukweli maneno ya mwalimu yalikuwa sawa

kipindi kile, lakini sio sasa, Ishu ni kwamba mtu akiona kuna tatizo na ataweza kulitatua kama akipewa nafasi

kwanini asiombe wakati anaamini , kwa nini mwalimu anasema tumwamini asiye jiamini huo ni mafunzo ya woga

JANUARI MAKAMBA AMEIONA NA AMEJUA ANAWEZA NA ANAFAHAMU ANAUWEZO ANAOMBA FURSA KWETU

KWA NN TUMNYIME , TAFUTA SABABU, MIMI KAMA MIMI NTAMUUNGA MKONO KWA KUJIAMINI KWAKE .

NA LENGO LAKE NI BAADA YA LOWASSA NA MIMI 2025 NDIO ATAINGIA JANUARY NA MIMI BAADA YA KUMALIZA

KUMUUNGA MKONO LOWASA MPAKA MWISHO AMALIZE MIAKA YAKE KUMI , HAPO NTTANZA NAAANAEJIAMINI MWINGINE

KAMA JANUARY ANAJIAMINI KAMA LOWASSA, KWAHIYO TUNAMIAKA KUMU NA MOJA YA KUKAA NA JANUARY KABLA HAJAINGIA IKULU TUNA KILA SABABU YA KUMWAMBIA TUKITAKACHO.

JANUARY UNAWEZA NDUGU KAZA BUTI BAADA YA LOWASSA UTAINGIA NA MIMI NTAKUWA PEMBENI YAKO.
 
Kwa hiyo kwako wewe kujiamini ndiyo sifa ya kuwa Rais? Ndiyo maana nchi inashindwa kupiga hatua maana hata wapiga kura wenyewe hawaelewi sifa za viongozi wanaowataka.

Mhhhh Ndugu Mwandishi hapa usiandikie ushabiki au Historia kiukweli maneno ya mwalimu yalikuwa sawa

kipindi kile, lakini sio sasa, Ishu ni kwamba mtu akiona kuna tatizo na ataweza kulitatua kama akipewa nafasi

kwanini asiombe wakati anaamini , kwa nini mwalimu anasema tumwamini asiye jiamini huo ni mafunzo ya woga

JANUARI MAKAMBA AMEIONA NA AMEJUA ANAWEZA NA ANAFAHAMU ANAUWEZO ANAOMBA FURSA KWETU

KWA NN TUMNYIME , TAFUTA SABABU, MIMI KAMA MIMI NTAMUUNGA MKONO KWA KUJIAMINI KWAKE .

NA LENGO LAKE NI BAADA YA LOWASSA NA MIMI 2025 NDIO ATAINGIA JANUARY NA MIMI BAADA YA KUMALIZA

KUMUUNGA MKONO LOWASA MPAKA MWISHO AMALIZE MIAKA YAKE KUMI , HAPO NTTANZA NAAANAEJIAMINI MWINGINE

KAMA JANUARY ANAJIAMINI KAMA LOWASSA, KWAHIYO TUNAMIAKA KUMU NA MOJA YA KUKAA NA JANUARY KABLA HAJAINGIA IKULU TUNA KILA SABABU YA KUMWAMBIA TUKITAKACHO.

JANUARY UNAWEZA NDUGU KAZA BUTI BAADA YA LOWASSA UTAINGIA NA MIMI NTAKUWA PEMBENI YAKO.
 
Juzi tu wazee wa Kwimba anakotoka Mwanamalundi wamenipigia simu kuwa nafaa kupokea kijiti cha Jakaya pindi akitoka magogoni.
 
January dadake anauza uchi ili apate urais.....Habari kamili, Mange Kimambi na Ngeleja waliovyochonga mchongo mzima wa $3000
 
naona pumba tu humu. kila mtanzania anahaki ya kuchagua na kuchaguliwa as long as amekidhi vigezo. wivu wa kike huu? wakiume wewe bila shaka.

JANUARY MAKAMBA NA KIINI MACHO CHA URAIS.

Ni hivi majuzi tu nimetoka kuandika juu ya Rais Kikwete kuufanya urais kuwa bei ya kutupwa kias kwamba kila mtu kuufanya urais kuwa hata mwendawazimu kuona anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kutokana na neno rais kuwa la kawaida na halina heshima tena, kila mtu anajipa urais kwa namna anavyojisikia. Utasikia mara rais wa manzese, ooh rais wa wasafi huku nako rais wa wagumu. Hali hii kwa mtizamo wangu ni kutokana neno rais kukosa hadhi ndani ya ardhi ya Tanzania.

Mwalimu Nyerere alipata kusema kuwa ikulu sio mahali pa kukimbilia lakini ninashangaa kwanini wakati huu wa Jakaya kila mtu anapataka Ikulu? Jibu langu ni lilelile kuwa Rais Kikwete ameufanya urais wa nchi kuwa kitu cha kawaida kias kwamba hata mwendawazimu flani anaweza tu kutaka kuwa rais wa nchi, what a shame?

Wakati huu ambapo Jakaya anakaribia kumaliza muda wake tumeona watu kadhaa hasa makada wa chama cha mapinduzi wakijitangaza kila mtu kwa namna yake na tumewashughudia wakijifaragua kwa kila mtu na namna yake ambapo ukitafakari kwa kina kunaonekana kama mchezo wa kuigiza ama komedi za akina masanja mkandamizaji.

Sote tunakumbuka na namna ambapo Edward Lowasa alipoanza na stail ya kutoa misaada makanisani kias kwamba kila kiongozi wa kanisa alipotaka kufanya harambee aliona mtu pekee anayeweza kutoa fedha za kutosha ni waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowasa. Hapa utaona kwamba mtu huyu stail yake ni ya kuwanunua watanzania kwa gharama ya kawaida kabisa. Licha ya kufanya harambee pia tumemshughudia akihangaika kuwahonga machinga na hapa sote tunakumbuka alipowakusanya machinga wa soko la makoroboi jijini mwanza. Lakini cha kushangaza ni pale alipowalipa waendesha pikipiki wa Dar es salaam sh.15000/: kwa kila mmoja ili tu wakusanyike kusema Lowasa ni rais ajaye.

Swali nililojiuliza hivi hicho kisima cha fedha alicho nacho Lowasa huwa hakikauki? Na kama hakikauki chanzo chake ni nini? Utasikia ooh ameshirikiana na marafiki zake..ni marafiki gani hao wasioonekana? Na pia ni nini malengo yao? Kutokana stail hii ya Lowasa, lile neno la Mwalimu Nyerere kuwa itafika wakati nchi hii itaongozwa na mjingamjinga fulani tu kwa sababu tu ana fedha.

Samweli Sita nae kaja kwa stail ya kumkamdia Lowasa na kujipa uzalendo na uadililifu ambao ambao hana hata chembe. Sote tunadhughudia namna anavyoendesha kihuni bunge maalumu la katiba. Lakini pia tunakumbuka namna alivyolazimisha kujengwa ofisi ya spika wilayani Urambo wakati akiongoza bunge la tisa utadhani angekuwa spika kwa maisha yake yote.

Profesa Anna Tibaijuka nae kaenda jimboni kwake. Muleba Kusini na kuwalipa ch.elfu kumi kila mmoja wa vijana wanaofanya biashara ndogo ndogo wabebe mabango yaliyoandikwa kuwa anafaa kuwa rais ati nae awe miongoni mwa wanaotajwa kuwa rais.

Mwigulu Lameck Nchemba Madeluu nae kaja na mkakati wake ati wazee wa Butiama ambopo ni kijiji alipozaliwa baba wa Taifa kuwa wamempigia simu na kumuandikia meseji ati agombee urais wa Tanzania kwani yeye ni kama Nyerere. Duuu Inasikitisha sana.

Hiyo ni kama mifano tu. Ila kwa leo ninapenda kuzungumzia kidogo mkakati wa kitoto wa January Yusuph Makamba. Huyu amekuja na mkakati wa kutumia ujana kama kigezo na sifa ya kuwa rais ajaye wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nikajiuliza hivi ni kweli kuwa Ikulu kuna kazi ya kubeba vyuma ama mawe kias kwamba ahitajike kijana? Ni nani aliyesema kuwa uzee ni laana kwa kuwa rais wa nchi yetu?

Kinachonisikitisha ni kitendo cha January Makamba kuwatumia Habibu Mchange, Mtela Mwampamba pamoja na Fredrick Mwakisambwe kuwahadaa watanzania kuwa walimu vijana wanamuunga mkono January Makamba?

Fredrick Mwakisambwe nimemfahamu kwani nimesoma nae Masters chuo kikuu cha Dodoma na pia ni Mwalimu wa shule ya sekondary Mnadani iliyopo manispaa ya Dodoma. Fredrick Mwakisambwe ni rafiki mkubwa wa Habibu Mchange, Mtela Mwampamba na Juliana Shoza kwani wamekutana DUCE wakati wanasoma degree ya ualimu.

Kutokana na Habibu Mchange kuwa mratibu mkubwa wa harakati za January Makamba, imekuwa ni rahisi Fredrick Mwakisambwe kuunganishwa na January Makamba kupitia kupitia Mchange Mwenyewe pamoja na Mtela Mwampamba huku mkakati huo ukimhusisha pia kiongozi mkubwa wa CCM mkoa mmojawapo wa kanda ya ziwa.

Mkakati mkubwa wa Makamba ni kuwatumia walimu vijana, wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja wanafunzi wa sekondari kupitia baadhi ya walimu vijana wenye njaa.

January Makamba amefanikiwa kumnunua Fredrik Mwakisambwe kwa ahadi kuwa atasaidiwa kutoka manispaa na kupata kazi TAMISEMI kwa makubaliano kuwa amuunganishe january na walimu wa Manispaa ya Dodoma. Na kuanzia Fredrick Mwakisambwe alipewa sh. 1,500,000 ili aandae kongamano la walimu ambalo baadae lilibatizwa kuwa jumuiya ya walimu vijana.

Katika kongamano hilo lililofanyika manispaa ya Dodoma kwa kuratibiwa na Mwl.Mwakisabwe, mahudhurio ya waalimu hayakuwa mazuri hivyo ililazimika kuwatafuta vijana wanaoendesha boda boda kwenye vijiwe ili nao wawe sehemu ya walimu watakaoshangilia ili ionekane kuwa walimu wanamshangilia January Makamba. Vijana hao wa boda boda walikuwa 89 na walilipwa sh.15000 kila mmoja pamoja na chakula cha mchana.

Usanii kama huu kwa sasa unaratibiwa mkoa wa Mbeya na kiini macho hichi kitafanyika siku ya tar.20/9/2014 jijini mbeya na baadaye Manispaa ya Moshi na Mwanza.

Swali je hivi ndivyo tunavyotaka kumpata rais wa nchi yetu kiujanjaujanja?

NAWAZA TU KWA SAUTI

N.NGOWI.
 
Mhhhh Ndugu Mwandishi hapa usiandikie ushabiki au Historia kiukweli maneno ya mwalimu yalikuwa sawa

kipindi kile, lakini sio sasa, Ishu ni kwamba mtu akiona kuna tatizo na ataweza kulitatua kama akipewa nafasi

kwanini asiombe wakati anaamini , kwa nini mwalimu anasema tumwamini asiye jiamini huo ni mafunzo ya woga

JANUARI MAKAMBA AMEIONA NA AMEJUA ANAWEZA NA ANAFAHAMU ANAUWEZO ANAOMBA FURSA KWETU

KWA NN TUMNYIME , TAFUTA SABABU, MIMI KAMA MIMI NTAMUUNGA MKONO KWA KUJIAMINI KWAKE .

NA LENGO LAKE NI BAADA YA LOWASSA NA MIMI 2025 NDIO ATAINGIA JANUARY NA MIMI BAADA YA KUMALIZA

KUMUUNGA MKONO LOWASA MPAKA MWISHO AMALIZE MIAKA YAKE KUMI , HAPO NTTANZA NAAANAEJIAMINI MWINGINE

KAMA JANUARY ANAJIAMINI KAMA LOWASSA, KWAHIYO TUNAMIAKA KUMU NA MOJA YA KUKAA NA JANUARY KABLA HAJAINGIA IKULU TUNA KILA SABABU YA KUMWAMBIA TUKITAKACHO.

JANUARY UNAWEZA NDUGU KAZA BUTI BAADA YA LOWASSA UTAINGIA NA MIMI NTAKUWA PEMBENI YAKO.

waliopiga marufuku bhangi walikua sahihi, mmoja ya athari ndy hizi
 
Back
Top Bottom