Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
Unachekesha wewe..Nchemba bora nihame Nchi..nchemba ni mtata sanaJanuary is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....
Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.
Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......
January is weak and arrogant,

Team makamba mmeanza mapema mmnooo mtamchonganisha na [emoji357] [emoji356]Ninanusa harufu ya mtu huyu kupenya mgombea uraisi 2020 kwa tiketi ya CHICHIEMU ,Aidha kutokana na mfumo wa mkuu kuendesha shughuli bila kujenga kundi lake lenye nguvu(tuliyozoea) ,Kwa mara ya kwanza nadhani Mh Mkubwa aweza kuwa mgombea wa kwanza kupata upinzani ndani ya chama kupeperusha bendera hiyo 2020.
Sababu za kuwa na maoni haya ni nadhani kuna vigogo wengi wa chama hiki nguli system mpya imewareject hasa waliokuwa na msimamo mkali juu ya neno gumu kwenye dictionery ya CHICHIEMU maarufu kama LOWASSA Mfano Sophia lion ,Kaburu wa kigomani etc
Aidha kuna vijana wengi waliokuwa na matarajio ya ukuu wa wilaya na unono kama huo hawa waweza kuwa mtaji mzuri kwa vigogo wowote watakao amua kuanzisha (kamatia fursa) mchakato wa kutwaa kiti 2020 .
Hahaa, hivi huyu kijana machachari Dr Kigwangala yupo wapi? Mbona Siku hizi simsikii kabisa?Duh Sofia Simba na Dr Kaburu halafu umemtaja Makamba. Hakuna connection. hao wawili kwisha habari yao labda waje kustaafia Ukawa.
Makamba hafai tutazidi kurudia staili za enzi za nyuma lakini pia naona kama unatumika kumchafua huyo kijana.
Hahaahaahaaa atakuwa ameenda kutibiwa kwa Dr. Year.Hahaa, hivi huyu kijana machachari Dr Kigwangala yupo wapi? Mbona Siku hizi simsikii kabisa?
Ahahahahaha uko ni kuamisha magoli tu kiujumla ccm amna kitu basi sema labda tutafute wenye nafuu mana awawezi achia nchi kwa makaratasi wamesemaMakamba ndiye spare iliyobaki ccm.
Hakuna kitu wote hao ni walewale hakuna wa kumuiga mwenzake.January is weak and arrogant,
ameachwa kwa mbaali Sana Na Mwigulu.
Alipopata ubunge alijiweka Sana karibu Na wananchi hasa vijana,akasifiwa na kila mmoja wetu, hadi wapinzani, alipopewa unaibu waziri majigambo yakaanza, tambo zoote za kesi za Mtandao Ni yeye, bado vurugu za uchaguzi mkuu Na kuvunjia wananchi Nyumba hasa WA Dar es salaam alipopata uwaziri kamili....
Amuige Nchemba, anajifunza Na kujitekebisha upesi Sana.
Nikikumbuka namna alivotamba Na uchaguzi mkuu 2015, sina hamu nae... Pengine labda ajirudi na atambue hii Ni nchi ya wenye vyama Na wasio Na vyama.......
Ninanusa harufu ya mtu huyu kupenya mgombea uraisi 2020 kwa tiketi ya CHICHIEMU ,Aidha kutokana na mfumo wa mkuu kuendesha shughuli bila kujenga kundi lake lenye nguvu(tuliyozoea) ,Kwa mara ya kwanza nadhani Mh Mkubwa aweza kuwa mgombea wa kwanza kupata upinzani ndani ya chama kupeperusha bendera hiyo 2020.
Sababu za kuwa na maoni haya ni nadhani kuna vigogo wengi wa chama hiki nguli system mpya imewareject hasa waliokuwa na msimamo mkali juu ya neno gumu kwenye dictionery ya CHICHIEMU maarufu kama LOWASSA Mfano Sophia lion ,Kaburu wa kigomani etc
Aidha kuna vijana wengi waliokuwa na matarajio ya ukuu wa wilaya na unono kama huo hawa waweza kuwa mtaji mzuri kwa vigogo wowote watakao amua kuanzisha (kamatia fursa) mchakato wa kutwaa kiti 2020 .
usibabaishe watu we kama naniHata kama una hoja, umeandika kitoto sana. Bure kabisa!
kula tanoJanuary is weak and arrogant,