January Makamba kutua Igunga Jmosi hii

R.A hajafanya maajabu yoyote, barabara hazipitiki wakati wa mvua, kashindwa kutengeneza hata daraja la Mbutu ambalo ni kilio kikubwa kwa kata kama 3, Kuhusu bima ya afya, igunga kuna community health fund (C.H.F) ambayo kaya 1 huchangia 5000/mwaka na kupata matibabu. Kwa mujibu wa chf co-ordinator bw.Manumbu, kaya zisizozidi 8000 zimechangia na Igunga ina kaya zaidi ya 56,000. Tafakari!
 
ccm hoeeeee,hakuna cha chadema hapa,wote bogasi kubali usikubali ccm lazima ishinde tena kwa kishindo nakuhakikishia,pia ushindi wa Tsunami tegemeeni 2015,hivi Slaa anamchumba tena mjamzito kajifungua na hana ndoa upuuzi gani huu,,haka kazee kashapitwa na wakati,kama madiwani wanawatoa jasho vipi kuhusu urais???hakuna ,tanzania mwenya akili timamu atakae mpa mhuni 2015 kura,Slaa afunge ndoa kwanza,,,ccm ya vijana hoeeeeee,JK safiiiiiiiii??UDSM,SAUT,UDOM juuuu???wote ccm,nawasilisha.
 
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
Kama unapima upepo sawa unakumbuka ulianzisha thread Nape kutua Arusha wiki hii lakini hadi leo hajatia mguu kule unasemaje.
 
ccm hoeee (hoii), hapo nimekukubali
 
Hana ubavu wa kukabiliana na kimbunga cha chadema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…