January Makamba azomewa na Wanachuo

Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu

Aaaa kumbe upo upande wa makamba?ngojea nimpigie lowasa sasa hivi.
 
January makamba ndo yule mwenye ndoto za kujua kuwa raisi wa wanyoa vipara ndo amezomewa ?
 
Huyu january makamba bure kabisa kashindwa kudeal na makampuni ya simu halafu anataka urais wa nchi.utoto mtupu.......
 
Mawazo mgando hayo, au bado unataka watu waendelee kuwa na imani za kizamani za kuwaambia watu kuwa ''una tabiri kesho vita itatokea burundi''.
Kawaida tunakwenda mbele, haturudi nyuma

Mkuu huyo lakisipesa akili yake ni sawa na magari ya mkaa lazima utembee na spana
 
Hivi makamba anafanya nini kama naibu waziri wa mawasiliano? Mbona makampuni ya simu yamebana sana watumiaji wa mitandao?

Kazi anayoifanya ni kunyoa kipara kila siku na kuandika vitabu vya ndoto za kugombea uraisi.
 
Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu
Utawala wa Nyerere mb 8 zilikuwa kwenye mtandao gani kwa gharama gani?
 
Mjinga sana huyu jamaa bora kazomewa...... Dada yake atavua chupi sana ila urais watausikia kwenye bomba....... mwanaume mzima anamtuma dadayake awavulie watu chupi ili apate fedha za kampeni, jinga kabisa....
 
yani angejua angetatua tatizo la MB 8 kwanza ndo afikirie urais
 
Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu

Wewe nawe sijui kama hata shule ulienda. Kila unachoandika hapa kinazidi kuonyesha kuwa ulibahatika sana kuumbwa mtu.
 
Hizo mamlaka nyingine ziko chini ya serikali ya CCM na yeye ni sehemu ya serikali hiyo hivyo waondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…