January Makamba azomewa jimboni kwake



Mleta Mada unaonekana kabisaaa una Malengo na hii tungo ya uongo uliyoileta. Mtahangaika sana kuwachafua wenzenu lakini hamtafanikiwa waacheni siasa za kizamani kuwapaka matope wapinzani wenu. Kwa ujinga huu bora tu sheria mpya kuhusu mitandao ije tu. mikutano ya jamaa inaendelea vizuri tu na anaungwa sana mkono na watu wake. Kama una mtu wako anataka kushindana nae muambie ni vyema akajiandaa kushindana kwa hoja siyo vioja kama wanasiasa wengi walivyozoea.
 

Na kweli kwa kuangalia hizo picha ,wananchi wanamchukia na kumzomea Makamba.Huyo Mzee kwenye picha huoni anajaribu kumkaba! !!
 
Yale Yale ya mbowe na HAI yetu wanalitelekeza jimbo halafu wabakuja na ambulace 2 kuja kupima upepo. Polen sana wananchi

Hivi wewe mbowe unampenda sana eee! unataka awe mume wako sio? Anyway usjali bibie nitakuwekea number zake.
 
Wewe kambitza umechanganyikiwa kweli. Sasa kumkumbatia huyo mzee ubwabwa ndio kupendwa na wananchi? Halafu umemuelewa mleta mada? Mleta hakusema kwamba watu hawahudhurii mikutano,bali mikutano inaendeshwa kilaghai na kiujanjaujanja ikiwemo yeye makamba kujichelesha kufika mkutanoni ili wananchi wasipate muda wa kumpiga masuali juu ya utekelezaji wa ahadi alizotoa kwao wakati wa uchaguzi. Na hicho ndicho kinachowapeleka wananchi kwenye hiyo mikutano yake na walipogundua hiyo janja ya nyani wakaamua kumpakazia. Kwani unafikiri kwamba watanzania wa sasa ni wajinga kama mlivyozea kuwaona?
 
Last edited by a moderator:
tatizo kubwa letu watu wa mikoani ,wilayani kudanganyika kuchagua watu ambao maisha yote nje ya majimbo,kwa kudanganywa makundi yenye maslahi na watia nia.tubadilke changueni watu mnaoishi nao siku zote watawaeshimu shid zenu shida zake.chagua UKAWA
 
laiti wakoloni wangewakuta viongoz kama makamba hahahahaha..hadi leo wangekuwepo
 
Huyu mbona n k laza! Polen sana wana bumbuli halaf anautaka ukuu wa nchi kumbe jimbon kwake maj yamezd unga!
 
Makamba ni janga la kitaifa kwani hadi sasa chini ya uongozi wake wizara yao inataka kuwafunga mikono wana habari na watanzania wote kisa wasiikosoe serikali.
Imekuwaje bibi kamrudisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…