January Makamba atembelea viwanda vya Bakhresa Group afurahishwa na ubunifu wao katika kutengeneza vifungashio

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,875
Waziri wa mazingira mh January Makamba ametembelea kampuni ya Bakhresa Group pale EPZ ubungo na kushuhudia uzalishaji wa mifuko mbadala na vifungashio.

Mh Makamba amewapongeza wafanyakazi wa Bakhresa na kuwataka waandae utaratibu wa kuzikusanya chupa zao za plastiki baada ya kutumika.

Source ITV habari

My take;
Kumbe kelele za akina Kibajaji hazipunguzi morali ya Uchapaji kazi!
 
Ziara za kikazi za mwishomwisho hizo,kifuatacho ni kukaa benchi la ufundi
 
Back
Top Bottom