Mgombea Ubunge Jimbo la Bumbuli Ndugu January MAKAMBA alipozungumza na umati wa wakazi wa jimbo la bumbuli Mkoani TANGA. Kwa umati huo ni ishara tosha kua anasubiri tu kuingia bungeni kwani wapinzani wake hamna kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.