azithromycim
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 547
- 1,193
Hakika mkuu maana kila nikiwaza mwaka 2026 naona giza nene kwenye hali ya maisha ya watanzaniaInasikitisha sana
Plus vikwazo vya EUHabari za muda huu wana JamiiForums.
Uchumi wa nchi umeathirika uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathirika kutokana na athari za MO29 na D9.
Hali hii itaifanya JANUARY 2026 kuwa mwezi mgumu sana kuliko kawaida.
Mwaka 2026 utakuwa mwaka mgumu sana kiuchumi bidhaa zitapanda bei tutarajie kuanzishwa kwa kodi mpya na kuongezeka kwa kodi.
Hiki kilio sijui tutakibebaje kwakweli, kina madhara ya ndani sana ,tofauti na tunavyo aminishwa.Plus vikwazo vya EU
Hakika mkuu nimwezi ambao ukiweza kutunza pesa unaweza kunufaikaNa baadhi ya watu watauza vitu vyao kwa bei ya kutupa ili waendane na mazingira
Kula kwa akiliKwa hio tufanyeje ndugu yangu
Mkuu wengi watalia nakusaga menoHiki kilio sijui tutakibebaje kwakweli, kina madhara ya ndani sana ,tofauti na tunavyo aminishwa.
Hizo ni Dua za kuku. Ghasia za siku 2 zididimize uchumi wa nchi? Labda uchumi wa mfukoni mwako.Habari za muda huu wana JamiiForums.
Uchumi wa nchi umeathirika uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathirika kutokana na athari za MO29 na D9.
Hali hii itaifanya JANUARY 2026 kuwa mwezi mgumu sana kuliko kawaida.
Mwaka 2026 utakuwa mwaka mgumu sana kiuchumi bidhaa zitapanda bei tutarajie kuanzishwa kwa kodi mpya na kuongezeka kwa kodi.
Hakika mkuuLawama zote zielekezwe kwa mbogamboga.
Tutafika maana hikikilio kitakuwa cha woteHata wanaomtetea baada ya kuona hawaambulii chochote kitu wataanza kumponda, twende tu
Tena sana tu.Hata wanaomtetea baada ya kuona hawaambulii chochote kitu wataanza kumponda, twende tu
Ni balaa sanaNa baadhi ya watu watauza vitu vyao kwa bei ya kutupa ili waendane na mazingira