nilikuwepo karatu,jana kuanzia saa tano yalionekana makundi ya watu wenyji wa karatu wakilekea katika mkutano wakiwa na fulana na kijana na kofia na wengine wakiwa na vitenge,nilichoma nyama ule kwenye baa ya mwenykiti wa halmashauri ambaye ni chadema hakukuwa na watu nikauliza wako wapi nikaelezwa wameelekea mkutanoni na nusu ya no la mji lilikuwa kama usiku wa manane,gesti hazikujaa kama inavyodaiwa ni kweli kulikuwa na mashabiki kutoka arusha,mto wa mbu na monduli lakini si wa kujaza mkutano kama inavodaiwa kujaza ule mkutano si chini ya mabasi hamsini,na leo asubuhi nimekuta robo tatu ya wapiga debe wamkula tshirt za kijana na kofia za ccm,karatu wengi hamuijuhi wao siku zote wanasema usikatae wito bali kataa ombi-wako tayari kuhudhuria mkutano wa kila mtu