PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 354 Reaction score 395 Jun 30, 2025 #1 Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Janeth Mtiba (kushoto) leo Jumatatu Juni 30, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Janeth amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime, Hamza Adam.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,790 Reaction score 41,283 Jun 30, 2025 #2 Esta matiko aampishe huyu kama kuna kigezo cha kuchagua mbunge mwanamke
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,104 Reaction score 1,249,079 Jun 30, 2025 #3 Sawa sawa