Janet Magufuli, Janet Kagame, na Janet Museven

Wote uliowataja ni wake za madikteta...Tanzania tunahitaji Rais sio dikteta!
 
Mbona Kanuna Sana..Wageni Ikulu Kumbe Wangerudia Getini.

Mama Regina Jiandae Kupokea Wageni Ikulu Njia Nyeupe...
 
Mnahitaji kiongozi atakaye wasweka MAFISADI WA Richmond Jela.

Subiri Kiyama October 25

Hujitambui, ungekuwa unajitambua usingekubali kutumiwa kama puto! Vibaraka mlalamike, mkuu wa chama alalamike, kama ni fisadi kwanini msimshitaki?
 
nikimwangalia janet nauona ukombozi kupitia yeye anakitu watanzania wanakihitaji tuombe Mungu atupe yule tunayemhitaji Magufuli atuepushe mbali na wasanii ukawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…