Jammed seat belts kwenye ajali ya gari: Kufanya replacement ya mikanda used (kuweka ya mtumba), nahakiki vipi ubora wake?

Kama ni IST

Badili Airbag zote zilizo deploy

Badili seat belt zote zilizokuwa zinatumika.

Badili Seat belt pretensioner zote.

Ukimaliza hapo nenda kafanye diagnosis uone nini kimebakia.

Au unaweza kuanzia kufanya diagnosis ukapata list ya vitu vyote vya kununua. Japo hivyo nilivyotaja hapo juu haviwezi salimika.

Hivo tu.

Af baada ya marekebisho yote kufanya reset ni muhimu.

Ahsante sana mkuu kwa maelekezo.
 
Back
Top Bottom