Jamiifotoms

Ila kwenye avatar unaweza sema ni hashim thabeet ama o'neal, kumbe kitu steve nyerere/joti
 
Ushauri wangu usirudie kupost picha ya familia. Hiyo ni privacy

Kuweka picha ya mtu.kwenye mitandao bila ridhaa yake si sawa. Ninavyofokiri mtoa mada ameona mtandao wa JF kama Facebook au insta au pin. hata kuona aweke picha zake.

Watu hawana dogo humu washachunguza hadi huyo dada kuwa ndala/sendoz yake moja imekatika. Watu zoom hadi nanihii aaah watu bana.....
 
Hahaha kwani sio mleta mada huyu?
 
Picha nzuri lkn ndio hivyo wasikilize waliyokushauli kwamba usipost picha za familia hapa.
 
hii picha ya familia yenu ya nini tena hum?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…