Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,503
- 3,514
Habari za Muda huu wakuu, naona ndani ya dakika kadhaa JF haiko hewani mpaka VPN vipi nasi tumefikiwa?
Kama Twitter?
Kama Twitter?
Mimi imenigomea bila VPNIko sawa, situmii VPN
Mimi kijana mtiifu wa Serikali ya JMT nimefanyaje mpaka wanifikieOhh ushafikiwa
Yeah, naona tumerudi hewani... Ime last kama 30minutes hiviNime notice hilo pia, huu upuuzi wala hautukomoi ila ndio unazidi kuwapa watu ufahamu juu ya uwepo wa VPN na mwisho wa siku suala la kudhibiti mitandao ya kijamii linakuwa ni jambo lisilowezekana. Natamani watawala wangejitahidi tu kuendana na kasi ya ukuaji wa maarifa ya watanzania, maana naona kama akili zao zime kwama kwenye miaka ya 90 huko wanajaribu kuzuia vitu ambavyo havizuiliki tena
Nilitaka kumaanisha Jf imefikiwa na rungu bila VPN hutoboiMimi kijana mtiifu wa Serikali ya JMT nimefanyaje mpaka wanifikie
Mapemaa mnoo
Toka porini uhamie mjini.Habari za Muda huu wakuu, naona ndani ya dakika kadhaa JF haiko hewani mpaka VPN vipi nasi tumefikiwa? Kama Twitter?
🤣🤣🤣🤣🤣Ipo sawa, sema mimi nimetumiwa msg PM
"ULIPO TUPO"
Ni kwasababu hukua makini ila ungekuta ushatambua hilo kuwa hatukuwa hewani....Toka porini uhamie mjini.
Wana test mitambo, ila na sisi miundo mbinu ya kupata maudhui mtandaoni pale watakapo kata switch tayari iko vizuriYeah, naona tumerudi hewani... Ime last kama 30minutes hivi
Nimejiuliza maswali mengi yasiyo na majibu....Watuachie jukwaa letu la Rickboy na Brita..
Mbona ipo fresh tuMimi kijana mtiifu wa Serikali ya JMT nimefanyaje mpaka wanifikie
Imepigwa ban siku 90.Mbona ipo fresh tu