JamiiForums is great, why?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,014
Reaction score
104,481
1. Ni ukumbi ambao unaweza (kwa wakati mmoja) kupata maoni/mawazo/fikra za watu/watanzania wa aina zote kuhusu mada iliyo mbele yetu kuhusu Taifa letu!

2. Unaweza kuuliza lolote ukapata jibu/majibu kutoka kwa watu wa uelewa tofauti , kazi yako ikawa kuchenjua kama wanavyochenjua mchanga wa makinikia kupata DHAHABU

3. Ni ukumbi ambao unaweza kuwaelewa watanzania wakoje in all walks of their life
4. .............................................
 
Halafu anatokea mtu anataka aombewe tu kila siku wakati matendo yake ni ya kiovu kabisa, ukija hapa JF watu wanamjadili kwa undani mpaka unamfahamu vizuri huyo muomba kuombewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…