Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
Habari za JF zinategemeana na sisi wenyewe ndio tupost kama wewe haupost vitu vya msingi kwa mtazamo wako tutawasoma hao wanao rudia nyuzi JF inaendeshwa na sisi wanachama wake tuweke maudhui ndio iendelee
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
Wala sio kwa bahati mbaya kwa Jf kulundikwa manyuzi ya mtu mmoja kila siku!
Kila topic utakutana na madudu yake na hamna kitu kipya lakini hao ndio wameipora Jf!
Kuna siku tutajua mbivu nbichi.
wivu tu unakuhangaisha
ni lini hata ulishawahi toa cent 5 JF
au kuanzisha Mada jamvini
km huwezi changia za wenzako jaribu Instragam au Facebook utawakuta kina Mange