imebidi nikaupdate mda huu, nnaona hata muonekano umebadilika, kwa sasa naweza kuona nani amelike tofati na mwanzo, hongereni, ila sijajua kama matatozo ya mwanzo yote yamekwisha
Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Yani hii ilikuwa ni kero kubwa sana, kila mara nikitaka ni-tap ili niweze kureply post ya mtu inastack, ngoja nijaribu nijue kama tatizo limekua fixed au vp but i guess the bugs its already gone.. kudos JF Admins
Kwa baadhi ya watu, automatically itaji-update (kulingana na settings za simu/tablets zao) na wengine watatakiwa ku-update manually. Yes, tumerekebisha yale yaloombwa kurekebishwa japo tayari mengine yashaanza kupendekezwa.
Mentioning haizuiliki ila notifications tumeshalifanyia kazi. Tutaweka kwenye market soon baada ya kujiridhisha kuwa inafaa kuwa final product kutumiwa na wateja.
Wakuu JF Mods and team,
Nitumie Fursa hii kuwashukuru sana kwa ku Coordinate Mordenization ya JF app inayo run on top of android devices.
App imetulia with More exciting features.
I am going to unistall Tapatalk fasta coz haina Maana tena
Invisible mimi binsfsi nimeupdate hii app lakini sijaridhika nayo, naipata jf bomba sana na katika mhonekano mzuri kasoro avatar tu nikifumia opera mini labda unielimishe kama kuna settings zaidi, maana hii app advantage yake kwangu ni kuona avatar tu.
Sina hakika kama hapa ndo mahali pake kuuliza, ila mkuu Invisible, ninatumia iphone4, nilidownload JF app for iphone nikaipata ila kila nikijaribu kuifungua hasa kupitia "enter now" sifanikiwi. Tatizo nini?