Nimejikuta nikijiuliza swali hili leo baada ya kupokea simu ya shemeji yangu(mke wa rafiki yangu)akiniambia ametengana na mume wake!. . . . . .Swali lenyewe ni kwamba kati ya jamii yetu(ya sasa a.k.a dot com)na ile ya kale(ya wazazi,babu zetu a.k.a mwaka 47) ni jamii ipi ilikua sahihi katika dhana ya ndoa?. . . . . Zamani(Babu DC utanisahihisha hapa kama nitakosea) kijana akitaka kuoa swala la mke mpaka mahari lilikua la wazazi,yaani kijana wa kiume hakuhusika na kutafuta mke wala mahari.Muolewaji nae alikua anaandaliwa kwaajili ya kumheshimu mume TU.Na alikua ni mama wa nyumbani,mlezi wa watoto.Pia ilikua ni aibu mwanamke huyu kuachika.Ila ndoa hizi zilidumu saaaana. . . . . Kwa upande wa sasa ni kinyume chake,kijana anatafuta mke anaemwona anafaa,analipa mahari,harusi kubwa,mwanamke nae hivyo hivyo,halei watoto,watoto wanalelewa na h/girl.Kuachika sasa sio aibu tena!Na ndoa nyingi zinavunjika siku hizi!. . . . . . Swali linakuja ni jamii ipi ilikua sahihi katika dhana nzima ya ndoa?Yaani iliyokua sahihi na lengo la muanzishaji wa ndoa(Mungu)je zamani au sasa?Kama ni sasa kwanini ndoa nyingi zinavunjika?Kama ni zamani,why don't we go back to our fore fathers?

Eiyer dear kwanza nimechoka kuwa karia womani, nataka kuwa fultaimu hausiwaifu, so usijali nitakulea na watoto nitawahomsul!
Tafuta tu pesa ya kutosha, yaani nipate hom aplayansis ambazo ndio watakuwa wasaidizi wangu, madish wosha, washing mashin, raisi kuka, majuisa nk.
Kavakasheni hata mara moja kwa mwaka, kagari kakifanyia shopingi, kanyumba kenye garden nzuri, ukiweza na kaswimingi pul.
Umeona mpenzi, l am ready to go back in time n assume the role of reproduction ili mradi wewe ufanye production za kutosha!
Mmmwahhh!
Eiyer kwa mtazamo wangu hakuna kilicho kuwa sahihi zaid kingine. kila aina ya maisha huwa inamapungufu na maongeo yake so kwazamani wapao waliokuwa wanatafutiwa wanaishia kuish maisha ya kuteseka wanachezea kipondo mwanzo mwisho, hadi wanapata ullemavu kwasababua tu si aliye kuwa akimpenda na wengine alidiriki hata kuzaa watoto nje ya ndoa zao, angalia kwa makin ndoa nyingi za miaka ya 50-80 wazee wale walikuwa wana watoto wa nje jiulize ni kwann?
ishu ni kwamba wanawake wazamani unyago uliwafundisha kuvumilia zaid bila kujitetea manake nakumbuka hata enzi ambazo mim nakuw tulifundishwa kuvumilia tu na hapo tulifanyiwa vitu ambavyo leo hii ukivipeleka tena unyagon lazima haki za bnadam waje juu. manake tulifundishwa ujasiri n auvumilivu sana.
sikuhizi ndoa ni nzuri watu wanajiamulia ila pia zina matatizo mengi na yamekuwa pronounced zaid kwakuwa kila mtu anajitetea. mabinti siyo wavumilivu tena ndoa wanainia wakiwa na upendo ili hali siye wengine ndoa tunaingia tukiwa na spirit ya kuvumilia kwanza, shukurani,heshima halafu ndipo upendo ukafuata. so nafikir ni vizuri tukayarudisha haya katika unyago zetu ili kuyajenga upya haya.
Naona jamii zote zina makosa na manufaa yake. Hiyo ya zamani somehow ilimdhalilisha mwanamke, unaposema mwanamke kuachika ni aibu inamaana unaishi kwenye hata kama haupo na amani for the sake of being married. Pili wanawake wengi walikuwa hawana jinsi ya kujikomboa wengi wao walikuwa mama wa nyumbani na mume alikuwa ni another god to her.
Kitu ambacho huwa tunakimiss katika jamii hii ya zamani ni kuwa hata kama hakuna upendo lakini heshima ilikuwapo kila mtu anajua wajibu wake. Hii ndio inayoumiza saa hii jamii yetu ya dot com. Wanawake wengi wamejikomboa kielimu na huwa wanajitegemea, kwahiyo mwanamme akiwa hawajibiki ipasavyo mtu anaamua asipoteze muda wako kwahiyo kuachika siku hizi ni jambo la kawaida.

mbona umemzungumzia mwanamke tu?Inamaana mwanaume hajafaidika au kuathirika na jamii hizi?
mhh! utadhani mafunzo ya jeshi! you just increased my respect for women even more, so thank you. I don't support returning such practices now, unless they do a similar treatment for men. Sikupita jando (i am guy) so I don't know what goes on there, but if its anything like unyago then I'm glad I missed it.mbona Eiyer nimejaribu kukuelezea mtizamo mzuri wa mafundisho ya unyago? unless kama sijaweza kuiweka kwenye lugha nzuri na nyepesi. tofauti na ilivyo siku hizi eiyer sisi tulifunzwa kuheshimu na kuvumilia ndoa, wala hatukukaririshwa kuwa ndoa inajengwa na upendo.
mfano dhahiri mimi nilibahatika kuchezwa zaid ya mara 3 ......
mhh! utadhani mafunzo ya jeshi! you just increased my respect for women even more, so thank you. I don't support returning such practices now, unless they do a similar treatment for men. Sikupita jando (i am guy) so I don't know what goes on there, but if its anything like unyago then I'm glad I missed it.
NB: sorry nimefupisha quote yako, it was too long
na hapo ndipo penye tatizo siye wanawake tunahenyeshwa juu ya wanaume lkn wenzetu hawahenyeshwi matokeo yake ni kuchoka na kukata tamaa kwani enzetu wanakuwa mamwinyi juu yetu siye. na nafikir ndio maana hata siku hizi unyago umepoteza maana manake unamfunza mmoja mwenzie unamuacha haisaidii.
mbona hujajibu swali?