Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
๐๐๐๐๐Kwaiyo hutakiMimi sitafanya Update labda wanishikie Bunduki. Hiyo logo ilifaa kwa wasanifu majengo!
Kwanini ๐Logo mbaya sana
๐๐๐๐Brand ile ile ilikuwa sawa
Tunaoikubali logo iliyopita tulike hapa ๐คฃ๐๐คฃ๐View attachment 3412253
Je unatumia mtandao wa Jamii forums Tanzania!! , app ya jamii forums leo wamefanikiwa kufanya maboresho kwa kuweza kubadilisha logo Yao ambayo ilidumu kwa muda mrefu sana.
View attachment 3412254
Mtandao wa jamii forums Tanzania ni jukwaa linalowakutanisha watu Mbalimbali na kuweza kupiga Soga, kupeana ushauri kujifunza mambo Mbalimbali kuhusu Nchi ya Tanzania na Dunia kwa ujumla kuanzia siasa, Elimu , afya, michezo , Teknolojia nk.
View attachment 3412255View attachment 3412256View attachment 3412257
Mtandao huu Kwa mara ya kwanza ilikua tarehe 13 Mei, 2012 mpaka Sasa umepakuliwa na jumla ya watu milioni moja.
Umefanya update ya Jamii forums Tanzania!!
#jamiiforums #apps #bongotech255
Acha mambo ya qysayngay jamvini ebu faster mgeukie na kumtegemea kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS aliyeuwawa kikatili kuutetea, kuulinda na kuupigania uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu.Sifanyi update labda niwekewe kisu shingoni
๐๐๐Mimi sitafanya Update labda wanishikie Bunduki. Hiyo logo ilifaa kwa wasanifu majengo!