BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,846
Marhaba | ahlan,Basi sawa, nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya watu wa Yemen.
Hakuna ukatili ispokuwa ni migogoro inayotokana na kushindwa kuvumiliana kwa mchakato wa kisiasa unaopaswa kuleta utulivu nchini Yemen.Ila muache ukatili ndugu zetu nyie Ni maswala tano
Ni bendera inawakilisha madhehebu ya Kiislamu au utaratibu wa kidini, kulingana na mila za kiisilamu, hakuna kingine. Ni uwakilishi tu ndugu yanguNaomba kujuzwa lengo ni nini hasa kuweka bendera ya uarabuni kwenye bara la afrika
Ok ahsante kwa ufafanuzi Nilikua najua ni bendera ya UAe/saudia.Ni bendera inawakilisha madhehebu ya Kiislamu au utaratibu wa kidini, kulingana na mila za kiisilamu, hakuna kingine. Ni uwakilishi tu ndugu yangu
Hapana, bendera ya saudia ina maneno matukufu lakini pia ina alama ya upanga chini yake, ila hii ni nyota na mwezi tu, kama nembo mbalimbali zinazo wekwaga kwenye misikitini.Ok ahsante kwa ufafanuzi Nilikua najua ni bendera ya UAe/saudia.
Ni miongoni mwa nchi chache za kiarab zenye hali ya hewa nzuri baadhi ya mijiJamhuri ya Yemen iko Kusini na Kusini Magharibi ya peninsula ya Arabia
Ina idadi ya watu ya milioni kumi na moja na eneo la maili mraba 190,000. Ndio eneo pekee la peninsula hii linalopata mvua za monsuni, na kuifanya sehemu yenye rutba sana na yenye watu wengi.
Mlima mrefu sana wa Arabia, uitwao an-Nabi Shu’aib, uko Yemen na unafikia urefu wa futi 12,350.
Sana’a ndio makao makuu na mji mkubwa zaidi katika nchi hii. Upo katika muinuko wa futi 7200, na unafahamika kwa hali yake ya hewa ya kiafya nzuri.
Aden ndio mji mkuu wa kibiashara. Al-Mocha, Al-Huhaydah, Ta’izz na Mukalla ni miji mingine mikuu. Sayun na Shibam ni miji ambayo ni maarufu kwa magorofa yake marefu.