Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Si mna mamlaka kamili! Katiba ya JMT ya 1977 na Katiba ya Muungano ya 1964 zinatambua Zanzibar kama nchi.Na sisi wazanzibar tunampango wa kuvunja muungani tuwe nchi inayojitegemea
[emoji28][emoji28][emoji28]
Muwe nchi mara ngap?Na sisi wazanzibar tunampango wa kuvunja muungani tuwe nchi inayojitegemea
[emoji28][emoji28][emoji28]
Safi m baki na Visiwa vyenu tumeshafikisha pazuri kidogo mmekua kua kiakiliNa sisi wazanzibar tunampango wa kuvunja muungani tuwe nchi inayojitegemea
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kuvunja muungano inabidi kwanza uvunje JWTZ ni rahisi hiyo? Baada ya uasi wa Jeshi 1964 Nyerere alisema aliliunda upya kwa namna ambayo hakuna atayeweza kulivunja asilani. Mojawapo ya viapo vya jeshi ni kulinda:-Na sisi wazanzibar tunampango wa kuvunja muungani tuwe nchi inayojitegemea
[emoji28][emoji28][emoji28]
Kiapo namba 1 na pekee cha JWTZ ni kuilinda CCM kwa namna yoyote ile hivyo vyengine ulivyo andika havina maana yoyote ile.Kuvunja muungano inabidi kwanza uvunje JWTZ ni rahisi hiyo? Baada ya uasi wa Jeshi 1964 Nyerere alisema aliliunda upya kwa namna ambayo hakuna atayeweza kulivunja asilani. Mojawapo ya viapo vya jeshi ni kulinda:-
1. Mipaka ya nchi.
2. Kulinda Katiba.
3. Kulinda Rais.
4. Kulinda Muungano.
nk nk
NB.
Unapotaka kuvunja muungano na kubadili Katiba (mpya) ikiwemo vetting ya kumpata rais mpya inabidi jeshi ulihusishe kwa 100% je, ni rahisi mtu asiye kwenye mfumo kuli-influence jeshi?????
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-
1. Waluo waandae waraka maalum wapeleke UN kuomba eneo lao kupewa mamlaka kamili ndani ya Jamhuri ya Kenya na baada ya miaka kadhaa wapewe nchi yao kamili Jamhuri ya Ramogi.
Huu ndiyo utaratibu salama usiohusisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ya kujitenga ambayo humwaga damu za watu wasio na hatia.
Mifano ya nchi zilizodai uhuru toka nchi-mama zao, lakini zikaanza na mamlaka kamili na hatimaye kutangazwa jamhuri ni hizi:-
Asia.
1. Pakistan ilitoka ndani ya India.
2. Afghanistan ilitoka ndani ya Pakistan.
3. Taliban inatafuta kutoka ndani ya Afghanistan.
4. Taiwan (a.k.a Formosa) ni mamlaka kamili ndani ya Uchina.
5. Hong Kong ni jimbo lenye utawala maalum ndani ya Uchina. Julai 1, 1997 ilirudishwa Uchina baada ya kujinasib kama nchi huru na kuzua mgogoro mkubwa kimataifa.
6. Tibet (The Roof of the World) ina jalada UN la kuomba kujitenga na Uchina. Sasa hivi tayari ni mamlaka kamili ndani ya Uchina.
Afrika.
1. Senegal ilijitenga kutoka Shirikisho na The Gambia (Senegambia Confederation) Agosti 1989.
2. Eritrea ilijitenga kuwa taifa kamili toka Ethiopia.
3. Somalia waligawana nchi hadi kufika vinchi 11 ambavyo kuingia kwa mwingine unadaiwa visa (viza).
4. Sudan Kusini ilidai utaifa wake ikapewa.
5. Darfur iko kwenye mchakato wa kutafuta utaifa wake.
6. Biafra ilitafuta utaifa wake chini ya Gen. Chukwuemeka Odumegwu Ojukwu haikufanikiwa lakini serikali ikaanzisha majimbo kamili chini ya shirikisho.
7. Tigray inatafuta kujitenga kwa njia ya vita.
Luo wa Kenya waanze sasa kutafuta Ramogi nation ndani ya Kenya.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wakati tunabishana kwenye ile thread ya Kiinglish;Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-

Hata mzungu Mwingereza amejiondoa EU. Inategemea maslahi unayopata au unayokosa kwenye umoja/Jumuiya husika.Kwa hiyo huku ni Ramogi Republic na kule Mombasa Republic.
MuAfrika anahitaji ukombozi kweli. Wengine wanaungana. Sisi tunatafutiza sababu za kugawanyika.
Kumbe najadiliana na wewe mwenye ugonjwa wa "Fall of Human Brain Rise of Owl Brain" Bundi wa Sumbawanga kabisaaa... Nadhani ukimaliza mzunguko wako wa hedhi wa Julai unaweza kurudi kwenye mada maana utakuwa na utulivu wa akili vinginevyo usubiri hadi umalize menopause (komahedhi) 2030 japo ubongo wako pia utakuwa muda huo unahitaji boosters za Mirembe na pengine Ma-gynaecologists.Wakati tunabishana kwenye ile thread ya Kiinglish;
"Rise of Raila and Fall of Ruto
• Thread starter [SIZE=4]Filosofia ya Rorya[/SIZE]
. • Start date"Saturday at 3:51 PM
sikujua kuwa nabishana na mwehu! Nisamehe sana ndugu yangu!!!
Na sisi wazanzibar tunampango wa kuvunja muungani tuwe nchi inayojitegemea
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nadhani wanalinda serikali ya CCM siyo CCM (wanalinda serikali iliyoko madarakani).Kiapo namba 1 na pekee cha JWTZ ni kuilinda CCM kwa namna yoyote ile hivyo vyengine ulivyo andika havina maana yoyote ile.
Wewe Kaa ukijua hata ufanyeje Raila WILL NEVER Be a President of Kenya!Kumbe najadiliana na wewe mwenye ugonjwa wa "Fall of Human Brain Rise of Owl Brain" Bundi wa Sumbawanga kabisaaa... Nadhani ukimaliza mzunguko wako wa hedhi wa Julai unaweza kurudi kwenye mada maana utakuwa na utulivu wa akili vinginevyo usubiri hadi umalize menopause (komahedhi) 2030 japo ubongo wako pia utakuwa muda huo unahitaji boosters za Mirembe na pengine Ma-gynaecologists.
Heal well soon. View attachment 2703834
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sababu za kujitenga ni zipi ?... kwanini iwe ni kabila moja tu ?......hadithi za kubuni tu hizi.Kinachoweza kuwasaidia Luo wa Kenya kupata utaifa wao (ambayo ndiyo dawa pekee) ni yafuatayo:-