majorbuyoya
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,828
- 564
kazi ipo!gamba la pili litajivua?
TBC1 Wamecover hili Tukio? mmmmmmh......au mchanganya picha kakosea tena Kama ile ya Mkapa kuwa Nassari?Mpaka 2014 mavuno yatakuwa mengi sana!
Katibu Mkuu wa UVCCM Martin Shigella amesema kuwa kujiondoa kwa James Milya CCM na kuhamia Chadema ni kutekeleza maagizo ya NEC ya CCM iliyowataka wanachama wote wasiofuata maadili ndani ya CCM kujivua gamba. Hivyo anampongeza kwa kutekeleza kikamilifu maagizo ya NEC. Source> TBC Taifa
MY TAKE: Hawa CCM inaonekana kila mtu na lwake maana kila mmoja ana msimamo wake kuhusu hili. Nape hajawahi kusema kama Millya naye aliyakiwa kuvuliwa gamba kama akina EL, RA na AC
Huu msemo naona umeanza kuwa misused! Endeleeni tu kuropoka ropoka huu msemo uone Mungu atakavyoteremsha mapigo na mafanikio yote hayo yakateketea mithili ya mshumaa kwenye tanuri.TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU.
but no cheo mkuu!
CCM is not used to Majembe... Milya ni mashine hivyo hawezi kufit kwenye agenda ya CCM
Sintashangaa vijana kama akina Mpoki, Gambo, na hata January kuhamia CHADEMA
Hata Gaddafi alikuwa mbishi kama wewe hadi pale alipokutwa na yakumkuta ndo akaamini. Moto huu wa mabadiliko sio wa mabua!!!Wanaohama ccm akili zao hakuna hata wakihama wanachama wote ccm itakuwa kwakuwa ilikuwepo kabla ya vichama vyote viduchu vilivyopo!
y Tafazal Sana huwa CDM hatupendi masifa pls tuko zaidi kuelimisha jamii na asilogwe akaleta hio misifa Cdm tutamfanya hammaJames ni potential i know him he was my college mate anafaa sana coz anapampika na anapenda sana sifa kwa wananchi anafaa he is potential
Unahitaji qualifications gani kusema huo msemo??? Ni nani hasa anahitajika kutaja neno Mungu??Kuna kosa gani limefanywa hapo aisee??Mbona unatupiga mkwara???Hivi vitisho vitisho ndo vimefanya waumini wengi kuacha kwenda makanisani, We hubiri upendo mambo yataenda tu. Mambo ya kuongezeana mastress na vitisho kwenye mambo ya kiimani huko dunia ya kwanza yalishaishaga, bado hapa kwetu tu. Tubadilike wapaka mafuta wa bwana, mikwara haisaidii katika kujenga imani.Huu msemo naona umeanza kuwa misused! Endeleeni tu kuropoka ropoka huu msemo uone Mungu atakavyoteremsha mapigo na mafanikio yote hayo yakateketea mithili ya mshumaa kwenye tanuri.
Labda kama mnamsema mungu wa nyota na mwezi, kama ni Mungu wa UTATU aliyetuumba sote, tuache huu mzaha kabisa
y Tafazal Sana huwa CDM hatupendi masifa pls tuko zaidi kuelimisha jamii na asilogwe akaleta hio misifa Cdm tutamfanya hammaJames ni potential i know him he was my college mate anafaa sana coz anapampika na anapenda sana sifa kwa wananchi anafaa he is potential
Ina maana bila Millya kujiunga na CDm tusinge Songa front na inaweZekana katumwa.simfagilii!Mbowe angemuunganisha Millya na Lema kwenye kukijenga chama. Tumpime kwanzaii
Haha ..sasa aliyewatuma hajanza waona mmekuwa liabilities?Au accounting ni zero,au ni kutojua value ya hela? teh teh. JF mnatupa ukweli na raha kwa pamoja.usitie shaka mkuu, Zitto na mie tumekuwa controlled,itakuwa Milya!!