James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Apr 16, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Source radio 5 arusha!

  Anaongea kwa hasira sana akisema CCM siyo baba wala mama yake! Anadai chama kinatumia fedha za walipa kodi kuzunguka nchi nzima kumchafua.

  Millya ambaye ni mfuasi mkuu wa Edward Lowassa, anaelezwa kutaka kupata nafasi ya kuwania ubunge Arusha mjini, lakini Chadema wamemkatalia, kama walivyomkatalia Lowassa, kwa maelezo kwamba bado si wasafi kubeba bendera ya chama chenye nia ya kupambana na ufisadi. Chadema wanawakaribisha wote kwa sharti la kuwa wanachama wa kawaida, na watapewa muda wa kujisafisha na kuwaomba radhi Watanzania.
   
 2. i

  ibange JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli yule jamaa ni jembe sana
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  James Ole Millya yule mwenyekiti wa UVCCM arusha au yupi?

  Kwa mara ya mwisho huyu jamaa kamwagwa kwenye kinyang'anyilo cha ubunge EAC kwenye ngazi ya chini kabisa ya kamati kuu ya chama (CCM). Hata yule mgeni kutoka marekani William Malecela alimshinda
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Karibu sana nyumbani mwana mpotevu. Ila huku ni uzalendo kwanza.
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  lakini huyu sio mtu wa EL?
   
 6. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hata kama ni mtu wa EL, CDM wanachopaswa kufanya ni kumpokea na "Kumtumia."
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  CCM is not used to Majembe... Milya ni mashine hivyo hawezi kufit kwenye agenda ya CCM

  Sintashangaa vijana kama akina Mpoki, Gambo, na hata January kuhamia CHADEMA
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Apr 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  haya ni masihara ua ni ukweli? kama ni ukweli tunamkaribisha ila isijekuwa mamluki mbona atakiona cha mtemakuni
   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu na waombee wenzako pia wavue hayo magamba.
   
 10. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Donyongijape like this
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Huyu yuko kwenye kundi la mafisadi ikiwezekana aondoke na baba yake wa Monduli kwenda chadema. CCM hapo imejivua gamba.

  Leo ndio anazionea uchungu fedha za mafisadi kuzunguka nchi nzima kumchafua mbona huko nyuma fedha hizo zilikuwa zinamsafisha?
   
 12. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Kwa nini atangazwe na ridio ya Lowassa na si redio ya wananchi ya Sunrise?
   
 13. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Sina shaka nae,kifupi tu ni kuwa hajawahi kuwatusi mamba hivyo ruksa sasa kuuvuka mto..karibu kwenye mapambano Milya
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  lilikuwa gamba gumu lilipokuwa CCM. Limehamia chadema Mweeeeeeeeeee
   
 15. e

  evoddy JF-Expert Member

  #15
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CHADEMA siyo vyeo wala fedha CHADEMA tunahitaji wazalendo wa kweri na siyo wanafiki kama anania njema tunamkaribisha lakini vyeo hakuna
   
 16. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu, hata mimi bado sijaamini! lakini kama ni kweli basi itakuwapigo kubwa sana kwa ccm na kambi mzima ya EL.
  Lakini itakuwa sherehe na sifa kubwa sana kwa CDM...eeee mungu mwenyezi ifanye habari hii kuwa ni ya kweli
   
 17. B

  Baba C Senior Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Karibu ila CDM wamchunguze kwa makini walao kwa miaka 3 au 4 kujiridhisha yasije yakatukuta ya Kina Shibuda hapa.
   
 18. m

  matawi JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  njoo lakini tutakuloweka kwa clorine kwa wiki 1 ili gamba baya likutike maana hilo gonjwa baya sana
   
 19. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Ni mtu makini anayejiamini sana , , ni kiongozi mzuri sana ,elimu nzuri ashirikiane na wapiganaji wengine kukomboa Taifa hasa maeneo ya umasaini ni matumaini yangu wengi watamfuata James Milya ni uamuzi wa wakati . hongera milya ulikuwa umepotea sasa umerudi nyumbani shirikiana na Makamanda wengine kuleta ukombozi
   
 20. luvcyna

  luvcyna JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 1,441
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  usitie shaka mkuu, Zitto na mie tumekuwa controlled,itakuwa Milya!!
   
Loading...