James Comey vs Donald Trump

Lukaku16

Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
21
Reaction score
27
Jamaa walitofautiana nini hadi mzee Trump akaamua kumfuta kazi ya ukurugenzi wa FBI huyu bwana, na hatimaye Comey ameandika kitabu "Fire And Fury" na katika moja ya interview na chombo cha habari ameongea dhahiri kuwa "Trump is morally unfit to be commander in chief." Kuna nini kinachoendelea kati ya hawa watu wawili, nitafurahi kupata full mkanda kutoka kwenu wajuzi wa mambo............

 
Mkuu, hawa wanabe wawili wamekua na minyukano ya hapa na pale kwa muda mrefu sana, huku kila mmoja akijiona yupo sahihi.
Ebu pitia hiyo link hapo chini, utaona mengi na hata ambayo hatuku yategemea

Trump v Comey: Who said what - BBC ...
www.bbc.com › news › world-u...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…