Vya mbao vibaya.vikilowa vinalendemka na kuwa vibich.mbona easy tu watengeneze vya palastic.mbona viti vya palastic vimejaaTrue, mfikishie idea production manager alifanyie kazi. Ila hata maseremala wetu nao wachangamkie fursa hio wazalishe vigoda vya mbao kwa Kazi hii
Nikifume wap mkuu.nimeona wachina.Wazo zuri. Wewe hicho umekifuma wapi mkuu?
Mi ilinilazimu kutoboa katikati kiti cha plastic ili kumuwezesha kujissidia mgonjwa wangu aliyekuwa hajiwezi hata kukaa.
Mbona mjamaa anaonekana kama vile ngama imegoma kushuka.Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic tunaomba mzalishe huko kiwandan vitauzika sana amini naawambia au kama mtu ana ka mashine ka kufinyanga tuviti hutu atauza sana.
Nyumba zetu nyingi hazina vyoo hivyo so unakuta mtu kipindi unaumwa, mathalan kuendesha pale ndio utajua umuhimu wa choo ya kukaa na kujiambia ukija kujenga lazima uweke na nini na nini. Kwa ile adha ya kuchutama na pia hivi viplastic havina kinyaa ukimwamgia maji kanakuwa kasafi.
Hivi hadi hutu tuagize China kwel?
View attachment 2494768View attachment 2494769
Ndg napenda kufahamu kwa mtu mwenye afya yake kutumia hivyo anapataje uwezo wa kusukuma kinyesi kikatoka chote?Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic tunaomba mzalishe huko kiwandan vitauzika sana amini naawambia au kama mtu ana ka mashine ka kufinyanga tuviti hutu atauza sana.
Nyumba zetu nyingi hazina vyoo hivyo so unakuta mtu kipindi unaumwa, mathalan kuendesha pale ndio utajua umuhimu wa choo ya kukaa na kujiambia ukija kujenga lazima uweke na nini na nini. Kwa ile adha ya kuchutama na pia hivi viplastic havina kinyaa ukimwamgia maji kanakuwa kasafi.
Hivi hadi hutu tuagize China kwel?
View attachment 2494768View attachment 2494769
Hapana labda uwe mgonjwa, mbona vijijini wazee wanamtumia mpaka mwisho wa maisha yao?Umri ukienda choo cha kuchuchumaa siyo rafiki
Wazee wa mjini, magonjwa km yoote, mafuta kibao mwilini.Hapana labda uwe mgonjwa, mbona vijijini wazee wanamtumia mpaka mwisho wa maisha yao?
Na kukosa mazoezi, wa kijijini wako fit muda wote.Wazee wa mjini, magonjwa km yoote, mafuta kibao mwilini.
BONGE LA IDEA ,binafsi niliuguza mtu,tukawa tunatumia kiti ajisaidieKiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic tunaomba mzalishe huko kiwandan vitauzika sana amini naawambia au kama mtu ana ka mashine ka kufinyanga tuviti hutu atauza sana.
Nyumba zetu nyingi hazina vyoo hivyo so unakuta mtu kipindi unaumwa, mathalan kuendesha pale ndio utajua umuhimu wa choo ya kukaa na kujiambia ukija kujenga lazima uweke na nini na nini. Kwa ile adha ya kuchutama na pia hivi viplastic havina kinyaa ukimwamgia maji kanakuwa kasafi.
Hivi hadi hutu tuagize China kwel?
View attachment 2494768View attachment 2494769
Wazee huko.huku watoto wa sister angu hawawez kuchutama. Kuna jamaa akichutama dk 5 anatetemeka miguu.hamna stamina. Marehem bib mpaka anafarik anachutamaHapana labda uwe mgonjwa, mbona vijijini wazee wanamtumia mpaka mwisho wa maisha yao?