Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

Jambo; nahitaji kuku aina ya kuchi

Esmile98

Member
Joined
Jun 27, 2016
Posts
7
Reaction score
0
Naitaji mtu anae uza vifaranga,jogoo,mtembe au mayai ya Kuku aina ya kuchi tuwasiliane...
 
Mpwa mbona unaandika kama vile hutaki? Hebu weka details kamili unauzia wapi? Unapatikana wapi? Mawasiliano yako? Mtu akitaka unamletea au anakufuata? Na extra extra.... aaaghh unaniangusha Mpwa bhana
 
Hahaaa...Asili Yetu Tupo Arusha tunafanya ufugaji.

Kwa Mawasiliyano zaidi
+255 758 811 234
 
Tuna mtu yupo Dar..unapokelea kwake na usalama wa Pesa zako unakuwepo.
 
Majike bado hatuuzi kwasababu tunatengeneza Mbegu kwanza na hata vifaranga pia
 
Tunaitaji kuwa na mitetea mingi kwanza ili tukianza kuuza kusiwe na ukosefu wa kuku kuanzia mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom