Jambo limezua jambo

Hata kama inasemwa mtoto akililia wembe mpe, lakini bado inategemea mzazi na mzazi,uchungu alionao mzazi husika na kiwango cha ujinga alichonacho Lis....sorry mtoto.

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mihadhara ya prof Shivji, huoni kama maelezo yake yana pishana na maandishi ya vitabu vyake vya nwanzo? Kama hujaelewa basi una matatizo?
 
Hata kama inasemwa mtoto akililia wembe mpe, lakini bado inategemea mzazi na mzazi,uchungu alionao mzazi husika na kiwango cha ujinga alichonacho Lis....sorry mtoto.

Hata kama ni msomi wa kiwango gani akianza kuji contradict don't rely on him, think twice
 
Shivji sijui amekubali vp kununuliwa na ccm na kuwatosa watz.wakati alikuwa muhamasishaji mzuri sana wa vijana na wanaharakati kutokubali kununuliwa na ccm.siamini anabadilika siku hadi siku

Sometimes pesa hata kama ni ndogo inaweza kukufanya watu wakakuona we tahira, maana kuslit ma mil. alaf unawatetea wajinga wa chache huwez nambia kwamba we sio tahira.

Shivji alienda kufanya spining dokta na kazi ashaimaliza.
 
Mzee Warioba aliwahi kusema kila mtu ananunulika ishu ni kujua bei tu, sikuamini mpaka niliposhuhudia Prof Shivj ametinga price tag, trust no one.

. . . . but ME!!!!
 
Issa Shivji anatambulishwa kama mwanasheria nguli wa mambo ya katiba Mbona kwenye tume ya katiba hakuwekwa? Dah pia amesahaulika kwenye Bunge maalum la katiba.au walimjua ni bingwa wa kuchanganya habari???
 
amekengeuka tena huyu mtaalam wa sheria

Huu ndio utaalam wa Ma-Professor wa nchi hii.kujinufaisha.badala ya kusuluhisha na kufanya tafiti za matatizo ya wananchi wanaangalia matumbo yao.Refer Mrisho Mpoto&Maunda Zolo.
 
VIJANA wa CHADEMA jifunzeni kupokea maoni tofauti tofauti kutoka kwa watu tofauti, si lazima kila mtu awe na mawazo sawa na msimamo wa chama chenu. Hii ndio sababu inayofanya hata CHADEMA iwafukuze wanachama wenye mawazo mbadala ndani ya chama.
 
huandamane kwa lip mkuu au unahamu tu ya kutoa machozi?
 
Hili ndilo tatizo la nchi yetu, eti kuna watanzania wenye asili ya Asia lakini hakuna watanzania wenye asili ya Burundi, Kenya au Msumbiji! Baada ya Tanganyika kurudi ndo tutakuwa na Watanzania wenye asili za Zanzibar!

Ha ha ! Lakini Wazanzibar ni Watanzania wenye Asili ya Tanganyika mkoani Tabora, kigoma nk hivyo usiwashangae Wazenji kuwabagua watu wa bara wakati kabla ya Utumwa waliishi Tanganyika ndipo Mwarabu akawasombea Huko hadii leo wanajiita wazawa.
 
Issa Shivji anatambulishwa kama mwanasheria nguli wa mambo ya katiba Mbona kwenye tume ya katiba hakuwekwa? Dah pia amesahaulika kwenye Bunge maalum la katiba.au walimjua ni bingwa wa kuchanganya habari???

maswali ya kitoto kujiuliza mtu mzima kuna uwalakini!
 
Issa Shivji anatambulishwa kama mwanasheria nguli wa mambo ya katiba Mbona kwenye tume ya katiba hakuwekwa? Dah pia amesahaulika kwenye Bunge maalum la katiba.au walimjua ni bingwa wa kuchanganya habari???

Hicho Kizee cha Kihindi ni Full kigeu geu , hakitabiliki Ndio Maana kimeachwa kwenye Tume zote .
 
Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mihadhara ya prof Shivji, huoni kama maelezo yake yana pishana na maandishi ya vitabu vyake vya nwanzo? Kama hujaelewa basi una matatizo?

Hicho kibabu cha Kihindi kinazeeka Vibaya sasa, njaa zake zinakipelekea kuyumbishwa yumbishwa sana na sasa kanaelekea kufirisika Kifikira.
 
Kizee cha Kihindi baada ya kupoteza Matumaini ya Mh Rais kumteua kwenye Tume,Mbali,mbali , kameamua kujipendekeza kwa CCM angalau kapate huruma, na Vijicemt na asiludushwe india.
 
Prof kama darasa la saba bana.. Amechanganya changanya.. State, country, goverment, nation hajui ni nini..? Kashindwa kusema zanzibar ni kipi ni kipi..
 
Mkuu ngoja magabachori wenzie waje kukujibu wanatumia jf siku hizi

Nawasubiri! Waafrika ndilo tatizo letu, India huwezi ukaingia kwenye politics za nchi yao. Wewe ni second/third class citizen kwao, hayo ya siasa huruhusiwi. Huku tunawapa majukwaa watuamulie maisha yetu na ya vizazi vyetu vijavyo
 
Wanaharakati tumemshuhudia akijutia kauli yake mbele ya wasomi wenzake,kasema ccm wamempaka matope wamemfanya chambo,kaomba viongozi wa ccm wamsafishe,wasomi wameanza kuwa nae chonjo wakihofia wenda anatoa siri za wenzao,wamemtuhumu ni usalama wataifa,sifa yake aliyojenga kwa miaka mingi imechafuka kwa siku moja.

Attachments

  • 1396508277569.jpg
    5.8 KB · Views: 308
unaweza kujenga ukuta kwa miaka mingi sana ila kuuvunja ukuta unaitaji siku chache tu, kama hakujua hayo yote inabidi ajiangalie vizuri katika kipindi hiki cha kutafuta kusafishwa,.....................
 
wanasema mwelevu huendelea kuwa mwelevu mpaka siku atakapoongea pumba. Newtons 1st law of motion!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…