Yahani wewe unaona hili lime mharibia kuliko anavyo haribiwa na kundi lake la wasio julikana wanao uwa, teka poteza na kuchafua?????Huo ndiyo UKWELI!
Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!
Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA,ukapuuza!
Nasikia hata baadhi ya washauli wako uliwakatalia lazima uende....hhhhh!
Impact ya jambo hilo si tu itaonekana leo bali hii umejenga chuki kwa upande wa pili hadi mwisho wa utawala wako.
Japokuwa eti unajifanya ww si mwanasimba lkn Mungu huwa hamfichi...Hiyo ilizihirika kwa wewe kukaririwa ukitamka `Nyinyi wana Simba 'hhhhh!
Nasikia mechi ijayo ya Yanga na Gor Mahia umepanga kuibuka uwanjani ili eti u-balance mambo;mm nakucheki tu-kubali umejiharibia!
Kikwete na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja!ALIKUWA MJANJA!
ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!
YANGA SHTUKENI!
90% ya watz wamegawanyika kwenye dini, kabila, vyama na mpira..simba au yanga. kama huamini basiYanga mbona mna akili ndogo sana, hivi kati ya mahaba ya mpira na mahaba ya dini, nini huwa inaleta utengano zaidi? Mbona viongozi huingia huku na huku lkn hakuna chuki yeyote? Iweje kwenye mpira tena ni jambo la kujifurahisha tu? Raisi jana kaelezea vizuri sababu za kukubali mwaliko, na kwa kiasi kikubwa kaiponda simba hadharani, bado yanga hamuelewi tu?. Dah! Yanga kwakweli ni hasara kubwa.
Huo ndiyo UKWELI!
Hata km ni mchungu lkn huo ndiyo UKWELI!Hali halisi hata huku mtaani upande wa pili umekwazika na hawana imani na wewe tena!
Tulikisihi uachane na MAHABA ya u-Simba na u Yanga ZITAKUHALIBIA,ukapuuza!
Nasikia hata baadhi ya washauli wako uliwakatalia lazima uende....hhhhh!
Impact ya jambo hilo si tu itaonekana leo bali hii umejenga chuki kwa upande wa pili hadi mwisho wa utawala wako.
Japokuwa eti unajifanya ww si mwanasimba lkn Mungu huwa hamfichi...Hiyo ilizihirika kwa wewe kukaririwa ukitamka `Nyinyi wana Simba 'hhhhh!
Nasikia mechi ijayo ya Yanga na Gor Mahia umepanga kuibuka uwanjani ili eti u-balance mambo;mm nakucheki tu-kubali umejiharibia!
Kikwete na MAHABA yake kwa timu ya Yanga lkn HAKUTHUBUTU kwa namna yeyote kujihusisha nayo kwa maana ya moja kwa moja!ALIKUWA MJANJA!
ANY WAY,HOMGERA KWA KWENDA KUISAPOTI TIMU YA WAZUNGUSHA MIKONO a.k.a WAZEE WA UKAWA!
YANGA SHTUKENI!
Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?90% ya watz wamegawanyika kwenye dini, kabila, vyama na mpira..simba au yanga. kama huamini basi
Huyu ni mwanayanga, kwa sasa anaumia kweli anapoona timu yake ikigeuzwa kuwa jamvi la wageni.Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?
sawa! ivi unajua hata ile issue ya manji mtu akiihusisha na jangwani kufanya vibaya nayo ina impacts zake?Labda hujanielewa. pamoja na kugawanyika huko, bado kiongozi wa nchi, naweza kuingia kanisani kwaajili ya kupeleka surpot yeyote, na waisilam bado wakawa na imani naye, kwanini JPM, eti kisa kaenda kukabidhi kombe kwa simba, ndo ionekane kajiharibia?
Yanga ni kama CCM tu wamezoea kubebwa na dola.Yanga mbona mna akili ndogo sana, hivi kati ya mahaba ya mpira na mahaba ya dini, nini huwa inaleta utengano zaidi? Mbona viongozi huingia huku na huku lkn hakuna chuki yeyote? Iweje kwenye mpira tena ni jambo la kujifurahisha tu? Raisi jana kaelezea vizuri sababu za kukubali mwaliko, na kwa kiasi kikubwa kaiponda simba hadharani, bado yanga hamuelewi tu?. Dah! Yanga kwakweli ni hasara kubwa.