UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Taiga kubwa jamii forum itika tuu utakavyoona inakufaa
Kuna jambo hili la wanaume kumtongoza kasichana ka watu kazuri keupe keusi katamu kishepu then akishakiandika na kalamu take inayomwaga wino mweupe ndo basis kanapigwa chini kama pwaaa
Kinachouma ni pale unapotaka kukaoa kasichana Fulani then kanakataa na kudai ninaye anipendaye while lijamaa linaminyaminya nyanya tu baadae bilinganya ndo zinanunuliwa kanaacha kwenye mataa kanakuja sasa oooh kimepanda kimeshuka na we we unamwonea huruma unakatafuna wiki,mwezi,miezi na wewe unakaacha very pain
Nawaasa wasichana chungeni bikira zenu