Jambo gani uliwahi kulifanya kabla ya kuoa/kuolewa ambalo hutaki mke/mume wako alijue?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
6,725
Reaction score
13,728
Wakuu,
Kuna mambo ambayo kabla ya kuoa/kuolewa huwa tunayafanya ambayo ni aibu na fedheha kusema mbele ya mkeo/mumeo ambapo madhara yake huwa ni eidha kuvunjika kwa ndoa au ugomvi usioisha.

Kwa upande wangu kabla sijaoa nilikuwa mpigaji wa nyeto sana,na nilinunua sabuni yenye povu jingi kwa ajiri ya kurahsisha upigaji nyeto huo

Kwa sasa shaacha. Na nawashauri vijana wenzangu msije kujaribu tukio hilo la aibu

Nishaapa sitawahi msimulia mke wangu.
 
Mim mbona huwa namwambia kwamba nilipiga,mfano akiwa hayupo akirud tukifanya akiniuliza mbona unatoa manii ndogo huwa namjibu kuwa nilipga nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…