Jambo ambalo Magufuli alikurupuka na lileta mafanikio kwa taifa. Halipo?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Ukweli ni kwamba mambo yote ambayo Mh Magufuli ameyafanyia uamuzi kwa kukurupuka siku zote huishia kutokua na mafanikio. Kama lipo hata moja basi tulitaje, Mimi binafsi sijaona.

1. BOT kuna watu hewa. toeni: ikadhibitika kuwa alipewa taarifa fake.

2. Sukari imefichwa , toeni la sivyo nitagawa: hakuipata na wala hakugawa.

3. Samaki

4. ....

5.. Mchanga: Tunasubiri matokeo.
 
.

Katika ishu ya kudanganywa kuwa tujiandae kugawiwa sukari bure kutoka kwa walioficha......

Ndipo hasa nilipoamuaga rasmi kumdharau na kupuuza huyu jamaa yetu.... Magu - fool.....

Kuwa kumbe ni mwongo na ni walewale wa tangu mwaka 1977 ilipo zaliwa CCM ya vibaka na wezi.....!!!
 
sijui huwa anajisikiaje kutuacha chaka..
 
Kuwa kuna watu walitaka wahonga tume yake

Kuwa yale makontena yamebeba dhahabu Tani 7-15

Kuwa alikamata magari kwenye makontena

Kuwa kuna Meli 65 zilipotea bandarini

Kuwa

Kuwa

Huu ni uongo wake
 
Ukweli ni kwamba mambo yote ambayo Mh Magufuli ameyafanyia uamuzi kwa kukurupuka siku zote huishia kutokua na mafanikio. Kama lipo hata moja basi tulitaje, Mimi binafsi sijaona.

1. BOT kuna watu hewa. toeni: ikadhibitika kuwa alipewa taarifa fake.

2. Sukari imefichwa , toeni la sivyo nitagawa: hakuipata na wala hakugawa.

3. Samaki

4. ....

5.. Mchanga: Tunasubiri matokeo.

Hivi ni kipi kinachowafanya mshangilie kuibiwa kwetu?! Hii nchi inahitaji Idd Amini ili wenye akili kama hizi ni kusomba kwenye tipa na kumwaga "Sibiti"/"Ruvu" kiwe chakula cha mamba! Sijui nani ametulaani watz, uwiiii!!!
 
Alisema wananchi wapewe magagwala ya migodini huku akijua ni kitu hakiwezekani. Mpk leo hawajapewa
 
Hivi ni kipi kinachowafanya mshangilie kuibiwa kwetu?! Hii nchi inahitaji Idd Amini ili wenye akili kama hizi ni kusomba kwenye tipa na kumwaga "Sibiti"/"Ruvu" kiwe chakula cha mamba! Sijui nani ametulaani watz, uwiiii!!!
Umenena.
 
Wakuu hebu waoneeni huruma wa Lumumba mambo yamewazidi kimo. Hii kali kushinda ya DAB.
 
Hivi ni kipi kinachowafanya mshangilie kuibiwa kwetu?! Hii nchi inahitaji Idd Amini ili wenye akili kama hizi ni kusomba kwenye tipa na kumwaga "Sibiti"/"Ruvu" kiwe chakula cha mamba! Sijui nani ametulaani watz, uwiiii!!!
tatizo ni umaskini unazoziba hata akili ya kufikiria. umeacha mlango wazi mwenyewe, unapiga kelele unaibiwa.
 
Ukweli ni kwamba mambo yote ambayo Mh Magufuli ameyafanyia uamuzi kwa kukurupuka siku zote huishia kutokua na mafanikio. Kama lipo hata moja basi tulitaje, Mimi binafsi sijaona.

1. BOT kuna watu hewa. toeni: ikadhibitika kuwa alipewa taarifa fake.

2. Sukari imefichwa , toeni la sivyo nitagawa: hakuipata na wala hakugawa.

3. Samaki

4. ....

5.. Mchanga: Tunasubiri matokeo.
Utabaki na mtazamo wako hasi kwa Rais Magufuli lakini hii nchi yetu na tunatakiwa kwa Pamoja kulinda Mali zetu na si kushabikia na kufurahi pale tunapoibiwa na walituzidi tu uwezo wa kiuchumi na kapata vibaraka wao ktk nchi zetu hizi masikini.

Nina Imani na Rais Magufuli kwa juhudi anazozifanya ktk kurekebisha mambo mengi ambayo baadhi ya viongozi walishaweka mizizi yao wao ni kuvuna tu huku mlalao kutwa mzima akiwa anahangaika.

Hayo ya BOT sijui Samaki na mengine uliyosema ni taarifa zinazopindishwa tu lakini Kuna watu pale BOT walikuwa wanakula salary wakati hawako kazini hilo liko wazi.kuhusu samaki vigisu vigisu imefanyika mpaka meli imezima mbona meli zinhine tena za zamani zipo.

Mwache Rais Magufuli ufanye kazi yake na wewe kama una Rais wako akiingia madarakani basi itakuwa unamfundisha jinsi ya kufanya kazi zake
 
Aibu ya samaki wa Magufuli iwe funzo gani kwetu

Lori la JPM lipo barabarani

Wengi mtashushuka

Mtazidi kuzoea tu mtake msitake, hii ni awamu ya tano.

Kuisoma namba na kusaga meno, kama kawa.

Hapa kazi tu

Magufuli oyeeeeee
 
Kuna watu wameficha fedha nyumbani atabadili noti ili wapate hasara
 
Back
Top Bottom