Jambazi lililouwawa Geita latambuliwa-Kuzikwa Maswa

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Taarifa za uhakika kuhusiana na Jambazi lililouwawa mgodini Geita lilikuwa ni Raia la Tanzania na mkazi wa Maswa-Kwa hiyo ile Passport ya Rwanda ilikuwa ni Feki.
Jambazi lile liliwahi kufanya wizi kama Ule Mgodi wa Bulyanhulu na kufanikiwa huku likiaacha majonzi, watu kama tatu liliua.
Lilitafutwa likapatikana (wafanyakazi wa Buly) walilizomea huku likiwa na pingu-Polisi walilichukua ila haijulikani ni mazingira gani yalimuweka huru tena

Ndg wa Jambazi mwisho wa wiki walienda Geita kuuchukua mwili wa Marehemu na wamepewa kwenda kumzika kamanda.

Maelezo ya mashuhuda yanadai-Ndg zake(waliofika wote wanawake) wamekiri kuwa amewahi pia kushiriki wizi wa Benki hapa Jijini Dar Es Salaam.

I present
 
Hii ni Tanzania zaidi uijuavyo! Jambazi hilo huenda lilikuwa jela na lilitoka kwa kazi maalum, chini ya makubaliano fulani, na wakubwa wa geshi fulani, kwa migao fulani. Kweli MUNGU anaona mengi.
 
huyu jamaa sijui alikosea wapi kwenye ule mpango....damn!!!
Sasa hivi angekuwa anaongea na gold kama 120kg.
 
Kapumzike Kwa Amani Kamanda,

Wizi Sio Mzuri, Lakini Ukimwibia Mwizi Naona Ni Sawa.
 
Huyo jamaa ni mkali maana kufanya deal na wakuu wa manjangu halafu baada ya kazi mgao unaendelea . Hii ndiyo Tz na si Tanganyika
 
​daaaaah mkuu nimecheka saana yani kwenye familia yake ye ni KAMANDA daaah hii noma
 
Pumzika mahala pema peponi kamanda, ujambazi sio mzuri lakini jambazi kumwibia jambazi sioni kosa hapo.
Tunaibiwa watz, tuamke.
 
Baadhi ya wachangiaji sielewi wana mtazamo gani kwa kushabikia uhalifu na mwalifu kama huyu ambaye amehusika ktk matukio km ya wizi katika mabenki na amesababisha mauaji ya watu wengi namna hiyo ambao hawana hatia yoyote. Tafadhali tuwe tunatafakari kabla ya kuchangia
 
GreatThinkers,
Taarifa za uhakika kuhusiana na Jambazi lililouwawa mgodini Geita lilikuwa ni Raia la Tanzania na mkazi wa Maswa-Kwa hiyo ile Passport ya Rwanda ilikuwa ni Feki.
Jambazi lile liliwahi kufanya wizi kama Ule Mgodi wa Bulyanhulu na kufanikiwa huku likiaacha majonzi, watu kama tatu liliua.
Lilitafutwa likapatikana (wafanyakazi wa Buly) walilizomea huku likiwa na pingu-Polisi walilichukua ila haijulikani ni mazingira gani yalimuweka huru tena

Ndg wa Jambazi mwisho wa wiki walienda Geita kuuchukua mwili wa Marehemu na wamepewa kwenda kumzika kamanda.

Maelezo ya mashuhuda yanadai-Ndg zake(waliofika wote wanawake) wamekiri kuwa amewahi pia kushiriki wizi wa Benki hapa Jijini Dar Es Salaam.

I present

Kama ni yule aliyeongoza wizi wa Bulyanhulu basi jina lake ni SELEMANI. Ni jambazi hatari mno ambalo hata kabla ya wizi wa Bulyanhulu lilikuwa limehusika katika matukio mengi ya ujambazi yaliyohusisha mauaji lakini wakati wote lilitoroka gerezani, hata haijulikani ni kwa namna gani. Hata alipokuwa Bulyanhulu, kabla ya tukio la wizi mkubwa alikuwa amefanya matukio kadhaa ya ujambazi huko mitaani ikiwa ni pamoja na kuvamia maduka ya wafanyabiashara wadogo. Kwa Dar es Salaam alikuwa amehusika katika matukio kadhaa ya ujambazi wa kutumia silaha huku mtandao wake ukiwa umesambaa mpaka Sudan. Pale Bulyanhulu, katika tukio hilo la ujambazi, aliua wafanyakazi 3 aliokuwa akifanya nao kazi. Mnaomshabikia, mngeujua ubaya wake kama ninyi wenyewe au ndugu zenu wangekuwa ni miongoni mwa waliouawa na jambazi hili kwa nyakati tofauti tofauti. Binadamu hufurahii kifo cha binadamu mwenzio lakini kifo cha jambazi hili kitakuwa kimeokoa maisha ya walio wengi ambao yumkini wangeuawa na jambazi hili katika operesheni zake. Mungu ametwaa kiumbe dhalimu kwaajili ya kuwalinda wasio na hatia.
 
GreatThinkers,
Taarifa za uhakika kuhusiana na Jambazi lililouwawa mgodini Geita lilikuwa ni Raia la Tanzania na mkazi wa Maswa-Kwa hiyo ile Passport ya Rwanda ilikuwa ni Feki.
Jambazi lile liliwahi kufanya wizi kama Ule Mgodi wa Bulyanhulu na kufanikiwa huku likiaacha majonzi, watu kama tatu liliua.
Lilitafutwa likapatikana (wafanyakazi wa Buly) walilizomea huku likiwa na pingu-Polisi walilichukua ila haijulikani ni mazingira gani yalimuweka huru tena

Ndg wa Jambazi mwisho wa wiki walienda Geita kuuchukua mwili wa Marehemu na wamepewa kwenda kumzika kamanda.

Maelezo ya mashuhuda yanadai-Ndg zake(waliofika wote wanawake) wamekiri kuwa amewahi pia kushiriki wizi wa Benki hapa Jijini Dar Es Salaam.

I present

hilo jama ni li nyantuzu.
Linaitwa Seleman, hapa Mwanza wanalitambua kwa jina la mkuu, limejenga bonge la jumba RUMALA mwanza.
 
Back
Top Bottom