Chalii asante kwa Picha na taarifa lakini na wewe kimboka usiku unatafuta nini?
acha kudhalilisha majambazi,huyo kibaka tu
didnt they kill him?
Kweli mkuu, huyu bado hajafika kwenye level ya jambazi, ngoja KakaJambazi asikie hii mamboacha kudhalilisha majambazi,huyo kibaka tu
Hivi kumbe kuna vyeo vya uharifu? May be nijaribu kupanga hivi, Kibaka-Mwizi-Jambazi-Jangili-Haramia-Fisadi in ascending orderacha kudhalilisha majambazi,huyo kibaka tu
heheeee... labda ni member wa OFM ya global publishers.
Si ndio hapo!!!kanaonekana katoto kabisa haka inawezekana bado kanakaa nyumbani Kwao kwa mshua na maza!!