wewe unaonaje?...akirudi wewe uko tayari kumpokea?..uko tayari kulea huyo mtotot?
Nashukuru ndugu yangu,okay ntajitahidiSongíto;3456427 said:dada shukuru mana wanaume wengi wa leo wakiwa na watoto watadanganya hawana ili mradi tu akupate, matokeo yake unaolewa naye na baada ya miaka nenda rudi ndo unagundua kuwa alikuwa na watoto zaidi ya uliozaa naye, kitendo cha huyo wa kwako kuwa kmweli kinaonyesha wazi tu kuwa amedhamiria kuwa nawe na anayo nia, kinachohitajika ni kumsisitiza kuwa mawasiliano kati yake na mzazi mwenzie yawe ni juu ya matunzo ya mtoto tu na si vinginevyo!!
wengi wanaishi hivi na wamefanikiwa katika hilo...
AMNEY
pole sana ila kikubwa sana ambacho unatakiwa kufanya ni kuangalia nyendo za huyo boyfriend wako,kama bado ana mahusiano ya karibu na huyo binti jaribu kumkanya maana wanaume ni wadhaifu,ukiona nyendo zake huzielewi tumia tu akili ya kawaida kusoma alama za nyakati
Eti eeeeeeh kwa kweli asante sanaKama anakupenda kweli hawezi kukusaliti,mbona wengi tu wamewaacha watu waliozaa nao na kudumu na wapenzi wao wa sasa.
Amney,
Moyo wa mtu ni kichaka hakuna ajuaye ya kesho. Leo anweza kukwambia hivi kesho akakubadilikia. Lolote lawezekana baya au zuri. Ushauri wangu ni jaribu kufikiria sana na kuusoma uhusiano wenu wa sasa hayo ya mbele mwachie mungu. Je na wewe ulikuwa na boyfriend kabla hujakutana na huyu wa sasa?
Yap nlkua nae bt tliachana kabla cjampata hyu nlie nae
Yap nlkua nae bt tuliachana kabla ya kumpata hyu wa sasa