Jamani wapi zipo office za tpdc mikocheni

Jamani wapi zipo office za tpdc mikocheni

Troojan

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
967
Reaction score
681
Ndugu zangu naitaji msaada wa haraka kesho nina interview katika hiyo seheemu lakini sijui ni mikocheni sehemu gani,anaepajua please msaaada
 
Pita barabara ya rose garden kisha uliza mbele mbele either utaona bango au utaelekezwa bt najua ofisi zipo posta benjamin mkapa towers 14th floor
 
Shuka makumbusho, chukua kibajaji ni kama buku tu wanakufikisha...
 
ninavyofahamu mimi kule mikocheni ni nyumba za kuishi wafanyakazi ila ofisi zao zipo benjamini wiliam mkapa tower
 
Km unakuja na basi telemka sayansi alafu panda bajaji ukiwaambia watakupeleka njia ya rose garden ni hapo ndio usahil unafanyika km maelekezo uliopewa,na sio ofisi za posta
 
Back
Top Bottom