Jamani, wana CHADEMA tuchangamkie wenzetu walioujua ukweli wa siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, wana CHADEMA tuchangamkie wenzetu walioujua ukweli wa siasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMEKIMBIA CCM, Nov 1, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshma magreat thnker,leo mchana nkiwa chuon kulitokea mjadala mkubwa sana kuhusu vyama vya siasa,ashukuriwe mungu nilitangaza sera za chadema na nkafanikiwa kushawish vjana karbu wote kuwa washabiki na wapiga kura wa chadma 2o15,zuri zaid n kwamba walihtaji namba ya kuchangia chama yan m-pesa nk.hvo mwenye namba hyo anisaidie,
  MAPAMBANO YANAENDELEA,pia nimepatwa na furaha kwa ujasiri wa Lema kwani naamin ataenda kutangaza sera zetu na kuangalia wangap wamefugwa bla hatia,alaaniwe m2 yule anaeikejel chadema
  MUNGU IBARIKI TANZANIA
  MUNGU IBARIKI CHADEMA
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Amewaambia viziwi, lakini waliosiki wakafunguka, hongera.
   
 3. facebook

  facebook Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  chadema full kujitafutia cheap popularity. mkiendelea hivi mnaweza kufika mbali. ila mpunguze yale majani kidogo
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  yaani wewe ni jinga kweli embu tueleze hiyo"expensive popularity ikoje"
   
 5. H

  Hhm Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Unajuwa huyo jamaa hajakosea, ni kweli sisi Chadema hatujazoea na wala si tabia yetu kutafuta kujulikana kwa njia ya kuhonga kwa pesa na mali kama wenzetu wanakijani a.k.a mafisadi+ magamba walivyozoea... Chadema tupo makini ole mbaya....big up Godfrey Lema..big ...Chadema...we all support him 100%...
   
 6. m

  mataka JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  nyie madogo someni hizo ni hasira na njaa za kukosa mikopo! Mie nafurah msome kwa shida ili mkimaliza muwe na akili ya maisha na uchungu na nchi ilivyoporwa tena ebu shindia mihogo na kachumbali make nami nimekula nilipokuwa chuo, wakati ule nilikuwa nakaa pale Kijitonyama Hostel enzi hizo.
   
 7. m

  mataka JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  cdm hakuna kitu, chama cha ndg, kanda na cha wanafiki. Kitaanguka mda si mrefu 2kivutie sharubu kidogo, yupo wapi Mrema aliyependa na wake za watu. Bora mie sio shabiki wa chama chochote make wengine wale mie niachie mdomo bure kwa kelele! Ng'o.
   
 8. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anaejua namba ya M-Pesa ya kuchangua CDM ampatie chalii ameomba
   
Loading...