Jamani Wachagga mbona mnatutesa hivi hapa Ubungo Terminal?

Hayo mabasi ni ya wachaga tu?

Kwani kuna Watu hapa ' duniani ' na pengine hata ' mbinguni ' wanaowazidi ' Wachagga ' kwa kupenda kusafiri kurudi kwao ' kuhesabiwa ' na kupeleka taarifa ya ' faida ' au ' hasara ' kwa kukaa kwao mwaka mzima humu mijini?
 



Wachagga sio kwamba hawataki kwenda kuhesabiwa la hasha, bali wameokoka wakaacha tabia zao za matambiko na kuchinjachinja wanyama na kisusio wanasema ni dhambi ya mauti, pili wanajizatiti kuwekeza kwenye viwanda badala ya hardware, guest house na bar, kwa hiyo mwaka huu wanatesti kula bata mamtoni Dar! Teh teh teh, shikamoo uchumi wa viwanda!
 
Wasipokwenda kutambika watawezaje kukaa mjini? lazima waende wakanywe damu.
 
Sasa unataka tusafiri sasa ivi kana kwamba sisi ni wanafunzi wa primary au secondary school tumefunga shule? Muda bado sana wa kwenda likizo this festival season. Subiri mpaka tarehe 20 ndio uanze kulalamika.
 
Nakasikia kwa mbali KILE KINYIMBO CHA CCM MBELE KWA MBELE Alafu ndo nasoma thread hiii yaani nimecheka hadi NIMEDONDOSHA UDENDA KWENYE KIOO CHA SIMU YANGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…