Anthonio JF-Expert Member Joined Oct 26, 2012 Posts 202 Reaction score 21 Dec 28, 2012 #1 Wana JF naomba mnijuze, Tanzania makampuni MATATU yameruhusiwa kuuza ving'amuzi. Lakini mbona mengine hayafanyi kazi?
Wana JF naomba mnijuze, Tanzania makampuni MATATU yameruhusiwa kuuza ving'amuzi. Lakini mbona mengine hayafanyi kazi?
M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 359 Dec 28, 2012 #2 Bado kampuni moja ya ITV na Star Tv. Nyingine mbili ni za Star times na TING tayari vimeanza kazi labda kama havipo mkoa ulipo wewe.
Bado kampuni moja ya ITV na Star Tv. Nyingine mbili ni za Star times na TING tayari vimeanza kazi labda kama havipo mkoa ulipo wewe.