Wewe ni me au ke????
Wewe ndio mme wake ??????? kama sio
Una uhusiano gani na mme(muibiwaji) au mke(muibaji)?????
Anao ushahidi gani kama mke ndio anaiba na anapeleka kwao???
Amuulize kuhusu tabia hiyo ya wizi na huwa anapeleka wapi hizo pesa, amkanye maisha yaendelee, akirudia hapo sasa atastahili adhabu.