D DANY1 Member Joined Jan 4, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Feb 28, 2014 #1 Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu, nimeitwa kwenye usaili wa mahojiano kwa nafasi ya afisa utafiti mifugo, msaada na ushauri jinsi ya kujiandaa
Naombeni ushauri kwa wenye uzoefu, nimeitwa kwenye usaili wa mahojiano kwa nafasi ya afisa utafiti mifugo, msaada na ushauri jinsi ya kujiandaa
Price JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 1,502 Reaction score 922 Feb 28, 2014 #2 Uwe na confidence, vaa mavazi yaliyosafi na decent..Epuka kulakula hovyo, tabasamu usoni, Beba document zako zote muhimu... Ukipata kazi njoo unishukuru
Uwe na confidence, vaa mavazi yaliyosafi na decent..Epuka kulakula hovyo, tabasamu usoni, Beba document zako zote muhimu... Ukipata kazi njoo unishukuru
D DANY1 Member Joined Jan 4, 2014 Posts 12 Reaction score 1 Feb 28, 2014 Thread starter #3 Asante sana prince, nitafanya kama ulivyo nambia, na nikipata kazi ntakuja kukushukuru,thank