R Rosca Member Joined Dec 13, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Feb 21, 2013 #1 Jaman mwenye updates zozote kuhusu ajira za UDOM maana tulifanya interview toka mwezi Desemba. Mpaka leo naona kimya au watu walishaitwa? Msaada please anayefahamu maana ngoja ngoja yaumiza matumbo
Jaman mwenye updates zozote kuhusu ajira za UDOM maana tulifanya interview toka mwezi Desemba. Mpaka leo naona kimya au watu walishaitwa? Msaada please anayefahamu maana ngoja ngoja yaumiza matumbo