Mzee Kingunge alisema chama cha mapinduzi(CCM) kimeishiwa pumzi na hakina uwezo wa kuipeleke nchi hii juu kimaendeleo alikuwa na maana kwamba serikari ya CCM imefika hapo ilipofika BASI.
Leo nilikuwa naongea na Mwalimu mmoja mkuu wa Shule ya Msingi Mjini Dodoma na kunieleza kwamba shule ina watoto/wanafunzi 1600 na madawati shule nzima yapo 200, sasa jamani hataka kama waseme. CCM ebu muone aibu. siwezi kuitaja shule lakini ipo dodoma mjini kabisaa. Na kuongeza hata kadi za kujaza maendeleo ya wafunzi wa darasa la kwanza hazipo huu ni mwaka wa pili.
Jamani tunaenda wapi?