Jamani tupo kazini...raha ya dafu

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
951
[h=3]*USIULIZE KWA NINI KAMKUMBATIA...NI KAZI HATA KAMA MUMEWE AKIULIZA ATAAMBIWA ALIKUWA KAZINI......[/h]



Askari Magereza ambaye hakuweza kufahamika jina lake akimsaidia mdada huyu aliyekuwa akinasa matukio ya picha katika sherehe za mapinduzi, mjini Zanziba leo tarehe 12.01.2013 .
Haikuweza kufahamika kama jamaa hawa walikuwa ni wanahabari au ni kutoka kwa ofisi mmoja. Lakini mwisho wa siku Bosi anahitaji kazi iliyo nzuri bila kujali kuwa watendaji wake wanataabika katika kufanya kazi bila kuwa na vitendea kazi bora vinavyokwenda na wakati, na suala hili si kwa hawa jamaa pekee ila ni katika Ofisi nyingi tu hususan Vyombo vya habari vya hapa nchini
​
 
Nae atafutwe kama yule aliyepiga picha na Kamanda Lema.
 
... Anacho waza AFANDE tofauti na Anacho waza huyu mdada MASKINI.......~
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…