Jamani tunaelekea wapi...??

superstar1

Kama yupo mweleze ukweli na usimwache aendelee kuunyanyasa moyo wako ila KISASI LAZIMAAAAAA
 
Last edited by a moderator:
bado mdogo huyo itaota tena

Samahani hili nitusi lakawaida wewe ni mbwa tena naukoo wako mbwa nguruwe pori na ukijibu wewe ningamia tena wajangwani mchawi mkubwa wewe
Yaani mtoto kakatwa uume unasema utaota wewe ni shetani tena ulitakiwa kupigwa mame hadi kufa mjinga sana wewe
 

Mmhh aisee pole sana, mama Wa kambo c mama jaman japo c wote.
 
Last edited by a moderator:

Duuh pole sana if is realy truth..inasikitisha sana kwa sisi tuliobahatika kulelewa na mama zetu ni ngumu kuamini.But haya mambo yapo
 
 
 

True!! Ngoja nisamehe tu! Hata hivyo wote wawili walishafariki kitambo.
 
ndio maana watu wanapiga wake zao sema ndio hivyo tz mwanamke akiguswa tu hata kofi moja kesi tayari ... uuuuwi hahisi harufu ya segerea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…