kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,870
- 7,752
leo muda huu usiku kwa mara ya pili ndani ya mwezi nanunua kifurushi kwa tigo pesa hels zinaondoka kifurushi sipati. unajaribu kupiga namba 100 unaongeleshwa pre recorded upuzi wa tigo wala hupokekewi na mtu kushtakia dhuluma uliofanyiwa. sasa kama ni staff wa tigo anakuibia au ni sera ya tigo sijui ila mimi mteja najua tigo ndio wezi. yaani nina hasira wacha tu.