P percypat Member Joined Jan 17, 2014 Posts 44 Reaction score 30 May 11, 2014 #1 Mothers day...natarajia kuitwa mama baada ya miezi 2.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,390 May 11, 2014 #2 Hongera...ila na baba nae awepo.
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,560 May 11, 2014 #3 Nakutakia kila la kheri bibie! MUNGU akupe uvukaji mwema kutoka udada hadi umama! Mama mtarajiwa hoyeee! BABA mwezeshaji juu, juu zaidi.
Nakutakia kila la kheri bibie! MUNGU akupe uvukaji mwema kutoka udada hadi umama! Mama mtarajiwa hoyeee! BABA mwezeshaji juu, juu zaidi.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,230 May 11, 2014 #4 baba juu sana Arushaone said: Nakutakia kila la kheri bibie! MUNGU akupe uvukaji mwema kutoka udada hadi umama! Mama mtarajiwa hoyeee! BABA mwezeshaji juu, juu zaidi. Click to expand...
baba juu sana Arushaone said: Nakutakia kila la kheri bibie! MUNGU akupe uvukaji mwema kutoka udada hadi umama! Mama mtarajiwa hoyeee! BABA mwezeshaji juu, juu zaidi. Click to expand...
Isumbwile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2012 Posts 801 Reaction score 362 May 11, 2014 #5 percypat said: Mothers day...natarajia kuitwa mama baada ya miezi 2. Click to expand... Congrats and may u give birth safely!
percypat said: Mothers day...natarajia kuitwa mama baada ya miezi 2. Click to expand... Congrats and may u give birth safely!
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,560 May 11, 2014 #6 Kongosho said: baba juu sana Click to expand... Ndo manaa yake Konnie! Unakuta mtu ana mama aitwaye let us say Mwajabu, baba yake anaiwa Rajabu naye anaitwa Kongosho, kwa haki ya baba ataitwa Kongosho Rajabu. Lala salama bebii. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kongosho said: baba juu sana Click to expand... Ndo manaa yake Konnie! Unakuta mtu ana mama aitwaye let us say Mwajabu, baba yake anaiwa Rajabu naye anaitwa Kongosho, kwa haki ya baba ataitwa Kongosho Rajabu. Lala salama bebii.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,852 Reaction score 53,825 May 11, 2014 #7 Nakutakia kila la heri kuvuka hilo daraja.
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 May 11, 2014 #8 Being a mom ni kitu kizuri sana....Hongera sana, Ukitaka majina tutasaidia mchango huo
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,037 May 11, 2014 #9 Hongera sana,na Mungu akuvushe salama.