jamani swali hili nijibuni

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,287
Reaction score
1,851
mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje na Zinapatikana wapi
 
Karatas inaitwa torobali
 
Sorry joseverest hii fas yko
 
Kwa uzoefu wangu Mashine zinaanzia kwenye milioni 10+,20 na kuendelea kutokana na size na uwezo,hapa Tanzania unaweza kupata second hand,mpya sidhani labda uagize nje china ndo rahisi zaidi
 
ahsante mkuu walau napata mwanga
 
mnatumia printer zipi kuprint mabango makubwa kama ya barabarani na ni shingapi printer hizo je naweza pata hapa Tanzania na pia mnatengeneza na kuprint kwa tshs ngapi? na paper hizo zinaitwaje na Zinapatikana wapi
Materials for large format digital printing
citylight paper, BBS paper, self-adhesive film, frontlit banners, mesh fabric, double-sided opaque banners, backlit banners, bunting, PVC, forex, polycarbonate, plastic, cardboard, tarps, carpets, cotton Canvas, textiles, etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…