jamani startime mbona mnatufanyia hivi??

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
naendelea kusikitishwa na kampuni ya startym ambayo inatupatia huduma,leo eneo linalotuzunguka limekata mawasiliano ukipiga customer care wanakuambia chukua remote weka kwenye siginal geuzia antena mlimani.unatumia antena ya aina gani! Hv jamani km huduma naipata kila siku leo unaniambia nigeuzie antena mlimani inakuweje,nikajaribu kumweleza sio tatizo langu peke yangu, hata wengine katika eneo hili wanatatizo hilo anakuwa mkali.kwa nini lakini hamjali wateja wenu?km kuna wenye tatizo km hili tufanyeje?
 
We upo maeneo gani mkubwa?
Mi hapa naangalia serie A kupitia channel kunfu, nikisubiria uefa kupitia UBC
 
Hio huwa inatokea sana,geuza antennae yako search channels upya(sometimes zaidi ya mara 5!) Utazishika tena
 
Hio huwa inatokea sana,geuza antennae yako search channels upya(sometimes zaidi ya mara 5!) Utazishika tena

ndo nn sana, afu mnajiita mko kwny digitali? Mambo yote DSTV, achana na michina hyo.
 
ucjali hyo ndiyo digital ya bongo we fata maelekezo unayo pewa wanakuwa wakali maana wanaona uelewi unatumia digital ya bongo
 
Hata Zuku leo nayo inaonyesha kama vile zile CD za Mwenge kituoni,naona vivuri tu ni kama terminator na mikwaruzo na kukwama kwa picha kama TBC vZUKU nao wameshalewa sifa,wameshaanza ''kulitia maji tembo''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…