Jamani simu kwa bei chee!

Jamani simu kwa bei chee!

Kaka Joni

Member
Joined
Oct 1, 2013
Posts
25
Reaction score
16
1. HTC Wildfire S. Android Smartphone with 5mp camera. Imetumika mwezi mmoja, ni kama mpya. Vifaa vyote vipo, bila boksi. Bei 150,000/- tu
440x330-wildfire-s-white.jpg

2. Samsung Galaxy S Captivate. Android Smartphone 5mp camera, 16Gb internal memory, 4 inch screen. Imetumika kidogo, in excellent condition. Vifaa vyote na boksi lake lipo. Bei 200,000/-
galaxy-s-captivate.jpeg

3. HTC Sensation XL. Brand New. 8mp Camera, 16Gb internal memory, 4.7 inch screen. Iko kwenye boksi lake original pamoja na vifaa vyote. Bei 480,000/-

1369297138_512520591_1-HTC-sensation-XL-Beats-audio-authentic-sound-WHITE-Dwarka.jpg HTC-Sensation-XL3.jpg

4. Nikon Coolpix Digital Camera. Brand New. 16.0 mp, 8Gb Memory card. Full HD touchscreen, Free Nikon Leather
case, 2 Screen protectors. Bei 320,000/- tu
nikon_coolpix_s100_black.jpg image-f630x378-ffffff-C-fd1ab410-68629762.jpg 3-900x900.jpg

Muhimu: Vitu vyote nimeagiza mwenyewe ebay, havina tatizo lolote. Ndio maana naweka contact zangu hapa.
Karibuni. Mawasiliano 0755 033 441.
 
mkuu hiyo ya pili samsung laki moja haiwezekani mkuu Kaka Joni
 
Last edited by a moderator:
Mimi hiyo samsung galaxy kama nzima kwel na inauwezo mkubwa wa kudownloud issue mbalmbal na mambo kibao me kuna kias hicho 150,000 ila napenda colour nyeupe.
 
Wakuu simu zilizopo ni hizo pichani. Sina aina/rangi nyingine kwasasa. Labda mtu aweke order. Pia mazungumzo yanaruhusiwa.
 
Mkuu nipatie samsung galaxy kwa 150000 kwa mawacliano 0762369619
 
HTC Wildfire - SOLD!
Nikon Coolpix camera - SOLD!!
Galaxy S Captivate - SOLD!!

HTC Sensation still available.
 
Back
Top Bottom